Chifu Sanze
JF-Expert Member
- Jul 20, 2021
- 3,097
- 6,281
Kafukueni msukule uje kuzuia ajali msitupigie kelele.Kweli kabisa mkuu kipindi cha miaka 4 iliyopita ajali zilipungua sana!
watu wa usalama barabarani walidhibiti sana...
Kafukueni msukule uje kuzuia ajali msitupigie kelele.Kweli kabisa mkuu kipindi cha miaka 4 iliyopita ajali zilipungua sana!
watu wa usalama barabarani walidhibiti sana...
Subiri ajali ikuchape kizembe ndio akili yako itakaa sawaKafukueni msukule uje kuzuia ajali msitupigie kelele.
Jukumu la kulinda usalama dhidi ya madereva wahuni ni la abiria husika na sio mtu mungine .Hakika ndugu yangu,madereva wanapaswa kuwa makini Sana, vinginevyo tutakwisha.
Jamani basi tu bahati mbaya🤔, hatuna mambo ya majini na mauchawi, sisi tumeokoka.Oya kuna nini hio njia ya kwenu mbona ma ajali yanafululiza au ndio yale majini yenu mmeyafungulia tayari!?
Kuna vigagula wa mwendokasi kama watu wa MbeyaJamani basi tu bahati mbaya🤔, hatuna mambo ya majini na mauchawi, sisi tumeokoka.
Ni kama zimeongezeka hivi! Sielewi😪Zimerudi kwa speed ya mwanga au sio
Mbona unatuandama hivo, vipi kuhusu mwendokasi wa madereva? , barabara pia( kona kali, mteremko mkali) inaweza kuwa sababuKuna vigagula wa mwendokasi kama watu wa Mbeya
Achana na mwendokasi,mtatumaliza.Itakua spidi tu..
Mie dereva kusema kweli kujizuia chombo itembee mdogo mdogo wakati mashine inaita kazi sana kuna saa unaingi atu uchizi unaona mtu kakupita vuup..
Unawazaa unaona ufala ngoja ninyoshe mguu sa ingine tunafika sa ingine ndio hvi tena
Ni kweli,lkn kuna wakati madereva wanakuwa na kiburi Sana.Jukumu la kulinda usalama dhidi ya madereva wahuni ni la abiria husika na sio mtu mungine .
Poleni wafiwa
Apumzike kwa amaniMwandishi wa habari wa ITV, ambaye alikuwa ni reporter kutoka mkoa wa Songwe Amefariki Dunia kwa ajari ya Gari.RIP Gabriel Kandonga.
Chanzo: ITV
Madereva hawana shidaMbona unatuandama hivo, vipi kuhusu mwendokasi wa madereva? , barabara pia( kona kali, mteremko mkali) inaweza kuwa sababu
Mmmhh basi hiyo familia ina tatizo/cursed, maana hata hao waliokufa 5 walitoka kuzika na huyu nae katoka kuzika familia hiyo hiyo.Gabriel kandonga alitoka kuzika ile familia ya watu sita waliofariki pamoja walichelewa sana kuzika kwenye saa 12 hivi jioni so wakati anarudi kutoka mazishini ndo akapata ajali R.I.P kandonga
Hapo lazima kuna mkono wa Mtu... Ngoja Mshana aje adadavue hapa.Gabriel kandonga alitoka kuzika ile familia ya watu sita waliofariki pamoja walichelewa sana kuzika kwenye saa 12 hivi jioni so wakati anarudi kutoka mazishini ndo akapata ajali R.I.P kandonga
Acha kukariri usemi wa polisi, dereva mzembe ambaye anaendesha gari akiwa peke yake, abiria atatoka wapi?Jukumu la kulinda usalama dhidi ya madereva wahuni ni la abiria husika na sio mtu mungine .
Poleni wafiwa