Mwandishi wa habari wa ITV, ambaye alikuwa ni reporter kutoka mkoa wa Songwe Amefariki Dunia kwa ajari ya Gari.RIP Gabriel Kandonga.
Chanzo: ITV
Apumzike kwa amani Gabriel Kandonga.
Ametangulia nasi tu nyuma yake.
Mwandishi wa habari wa ITV, ambaye alikuwa ni reporter kutoka mkoa wa Songwe Amefariki Dunia kwa ajari ya Gari.RIP Gabriel Kandonga.
Chanzo: ITV
Ni kama ilivyo kuwa eneo la namba one zamani. Tatizo ni mwendo tuu ...Sijui kama wamefanya hilo,ni zamani sana nilikua huko.
Kuna mteremko mkali toka simike kuja Nzovwe alafu kuna kona kali pale jkt wamekufa watu wengi sana.
Wanasema kuna jini pale enzi hizo.
Kuna siku kulikua na kisima pale.
Maji tulikua tunakinga pale,nimeenda na mdogo wangu nampenda sana tuchote maji e bana gari hiyoo imetoka juu huko simike mi naiona dogo haoni nakumbuka nilimnyakua nikamtupa pembeni.
Ile gari 5×4 pick upp nyeupe iligonga palepale alipokua amesimama.
Kama nisingemtoa tungekua tumemsahau.
Mpaka leo hajuagi hiyo action.
AminaApumzike kwa amani Gabriel Kandonga.
Ametangulia nasi tu nyuma yake.
Kha!kha!kha!,, Hatari Sana.Sijui kama wamefanya hilo,ni zamani sana nilikua huko.
Kuna mteremko mkali toka simike kuja Nzovwe alafu kuna kona kali pale jkt wamekufa watu wengi sana.
Wanasema kuna jini pale enzi hizo.
Kuna siku kulikua na kisima pale.
Maji tulikua tunakinga pale,nimeenda na mdogo wangu nampenda sana tuchote maji e bana gari hiyoo imetoka juu huko simike mi naiona dogo haoni nakumbuka nilimnyakua nikamtupa pembeni.
Ile gari 5×4 pick upp nyeupe iligonga palepale alipokua amesimama.
Kama nisingemtoa tungekua tumemsahau.
Mpaka leo hajuagi hiyo action.
Ndo ipoje hii mkuu?Apumzike kwa amani kama alikuwa na bima kazini familia yake haitapata tabu sana
Juzi alitangaza kuhusu askari waliofukuzwa kazi baada ya kuingia Malawi.Mwandishi wa habari wa ITV, ambaye alikuwa ni reporter kutoka mkoa wa Songwe Amefariki Dunia kwa ajari ya Gari.RIP Gabriel Kandonga.
Chanzo: ITV
Siyo kweli kuwa ajali hazikuwapo.Zilikuwapo ila hazikuwa zinatangazwa kwa sababu ya kumuogopa Kayafa. Maana hakutaka kusikia habari asizozipenda, hivyo wahusika, ma RPC, walizuia zisitoke ili wabaki ktk nafasi zao.Yani back thru 4 years ajali zilipungua inaonekana tayari kuna maafisa usalama wameanza kufanya uzembe kazini!
Haiwezekani ajali zilikuwa hazisikiki kabisa yani palitulia kabisa. Ila juzi wamekufa akina Mboya! Leo mtangazaji wa ITV barabara hio hio ya Mbeya
Hivi hizi pumba za kusema watu walikuwa wanaogopa kutangaza ajali mmezitoa wapi? Hebu acheni kujitoa ufahamu. Ajali zilikuwepo na ziliripotiwa, watu wanasema hazikuwa nyingi sana kwasababu askari walikuwa wanafanya kazi kwa kuogopa kuwajibishwa. Labda tuwaulize wanaosema sasa hivi zimekuwa nyingi watupatie takwimu miaka hio zilivyokuwa kidogo na sasa hivi tuthibitishe.Siyo kweli kuwa ajali hazikuwapo.Zilikuwapo ila hazikuwa zinatangazwa kwa sababu ya kumuogopa Kayafa. Maana hakutaka kusikia habari asizozipenda, hivyo wahusika, ma RPC, walizuia zisitoke ili wabaki ktk nafasi zao.
Duh!!!, Inauma Sana, yaani Kumbe mkewe alishafariki?,Amemfata mkewe jamani.
Mtoto mzuri anabaki yatima , Mwenyezi MUNGU amtunze mtoto huyu.
Dah!!!, RIP