TANZIA Gabriel Kandonga afariki dunia kwa ajali ya gari

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
19,322
14,244
Mwandishi wa habari wa ITV, ambaye alikuwa ni reporter kutoka mkoa wa Songwe Amefariki Dunia kwa ajari ya Gari.

RIP Gabriel Kandonga.

Kandonga.jpg

Chanzo: ITV
 
Yani 4 years ago ajali zilipungua inaonekana tayari kuna maafisa usalama wameanza kufanya uzembe kazini!

Haiwezekani ajali zilikuwa hazisikiki kabisa yani palitulia kabisa.
Kweli kabisa mkuu kipindi cha miaka 4 iliyopita ajali zilipungua sana!
watu wa usalama barabarani walidhibiti sana...
 
Yani back thru 4 years ajali zilipungua inaonekana tayari kuna maafisa usalama wameanza kufanya uzembe kazini!

Haiwezekani ajali zilikuwa hazisikiki kabisa yani palitulia kabisa. Ila juzi wamekufa akina Mboya! Leo mtangazaji wa ITV barabara hio hio ya Mbeya
Kuna sehemu pamepwaya, mbinu zilizotumika siku za Nyuma kupunguza ajari inabidi zirudiwe tena.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom