Gabo kumbe anakula "Mary Jane"

Kama anamaanisha bangi mbona nijambo la kawaida.!

Nimefanya kazi katika taasisi fulani kubwa tu HR wa pale tulikuwa 'tunasizi' nae Kama kawaida.

Tena Yeye alikuwa anapenda iwe 'imenyongwa' kabisa na liwe 'tomu'.
huyo alikua hajui kunyonga anaagiza special,
Tatizo la mmea unapelekea matumizi ya vitu vingine vikali zaidi mathalani pombe na poda, hasa Kama mnavuta kampani Mana lazima Kuna mdau tu ataibuka na kitu Cha tofauti na utajaribu. Haya niliyasikia Lord eyes akisema jinsi alivyoanza Kula unga ilikua Ni kampani tu Kama hivyo
 
Ulivyotutesa ss wa la saba B Mungu anakuona mkuu,yaan kupambana koote kuona Gabo anavyomla mary jane kumbe unamaanisha bange?
🤣🤣🤣😂😂😂 mkuu niliandika marijuana simu ikabadilisha kua Mary Jane 🤣🤣🤣
 
Kama anamaanisha bangi mbona nijambo la kawaida.!

Nimefanya kazi katika taasisi fulani kubwa tu HR wa pale tulikuwa 'tunasizi' nae Kama kawaida.

Tena Yeye alikuwa anapenda iwe 'imenyongwa' kabisa na liwe 'tomu'.
Hahaha Du nimecheka,jamaa hawezi kujiphotolea mwenyewe anataka phantom liwe tayari tayari
 
Kama anamaanisha bangi mbona nijambo la kawaida.!

Nimefanya kazi katika taasisi fulani kubwa tu HR wa pale tulikuwa 'tunasizi' nae Kama kawaida.

Tena Yeye alikuwa anapenda iwe 'imenyongwa' kabisa na liwe 'tomu'.
Hahaha Du nimecheka,jamaa hawezi kujimwenyewe anataka phantom liwe tayari tayari
 
Back
Top Bottom