G8 2008 Summit: Broken Promises, Africa Agenda & Shifting MDG Goals | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

G8 2008 Summit: Broken Promises, Africa Agenda & Shifting MDG Goals

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Steve Dii, Jul 7, 2008.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Source : BBC News

  SteveD.
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Source: BBC News

  SteveD.
   
 4. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2008
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,758
  Trophy Points: 280
  StevD, umeniwahi nilikuwa nataka niweke huu mjadala wa G8 na mustakabali wa bara letu la Africa. Ingawa umeweka quotations za BBC nilitaka tulijadili hili on serious note.

  Hivi do you really think kwamba G8 they OWE us anything? nimeona watu wanaandamana, waafrika wakilalamika nk. Lakini hebu tujiulize...do we have a compelling case to make to these people meeting in Japan? Jk na maraisi wengine wamekaribishwa Hokkaido, do you expect any difference?

  I will appreciate kupata maoni ya wadau hapa JF kuhusu hii G8 na jinsi watu tunavyoona kwamba they have promises to keep especially for Africans. I for one, I will be very interested to see how people view the whole notion of G8 summit and Africa. Nitarudi ngoja nitafute mkate wa leo
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Masanja, in simplistic and technicalness, G8 owes us nothing!! But as people of the world and entirety in human interaction, the holistic verdict is that - THEY OWE US BIG TIME.

  Being the first to get "there" don't mean you forget others are in need and/or want to get there.... If you are conscious enough, you'll make sure you do your best to assist them get there. Since you (the already prosperous) and them (the walalahoi) both believe in one form of prosperity called maendeleo kwa jamii, watu wake na mazingira.

  Mfano mmoja ambao naweza kusema kuwa hawa G8 wanahaja kubwa ya kusaidia walionyuma ni kwamba, imagine kama export of raw material kutoka Africa na kwingineko ambako maliasili yote inayoleta maendeleo huko kwao ingesitishwa.... yaani kuwepo na mgomo mmojawapo wa kama ule tunaousikia ile miaka ya sabini ulitaka kuanzishwa na Saudi Arabia kuhusiana na mafuta.... sasa leo hii hebu imagine Africa igome kutoa machimbo ya aluminium, uranium, mafuta, vyakula, n.k... hayo maendeleo wanayoyapata yatakuwepo kweli?!

  Hapo mfano wangu juu ni sawa au unalingana na upuuzi ya viongozi na watu binafsi unaofanywa hapa kwetu.... watu wananunua mashangingi kwa ajili ya mabarabara mabovu... how stupid that is!! Tengeneza mabarabara kwanza, then excess nunua magari ya kifahari... this is towards the government policy.

  Sasa, huwezi ukajiita wewe tajiri na unakula kuku na ukaonekana una la maana wakati jirani yako anashinda kwa mlo mmoja. It's just not in human....but we're so unfortunately that there are human with such thinking!!

  I hope nimejaribu kujibu kidogo walau kwa kifupi..

  SteveD.
   
Loading...