..G LEMA - Mwamba wa Kaskazini watuwa Kalenga kumalizia KAZI !!!!

Dogo shida yake hana uwezo hata kidogo wa kujenga hoja,pamoja na kuto jua kihehe na makazi kuwa London ndiyo taabu tupu

..CCM wameanza kumficha mgombea wao.

..wapambe wanaongea zaidi na kupelekea wapiga kura kutokupata nafasi ya kumsikiliza na kumsaili mgombea ubunge.

..I hope wananchi watayaona mapungufu hayo na kuchukua hatua za busara.

cc Tumaini Makene, Yericko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
Aluta continua kamandaz mpaka kieleweke

hii post haina ukweli uchaguzi wa ubunge kalenga hali ni mbaya kwa chama cha demokrasia na maendeleo,kiukweli na kuna dalili chama cha mapinduzi kinaweza kushinda uchaguzi kutokana na ushawishi na nguvu ya chama hicho!!!!!
 
..CCM wameanza kumficha mgombea wao.

..wapambe wanaongea zaidi na kupelekea wapiga kura kutokupata nafasi ya kumsikiliza na kumsaili mgombea ubunge.

..I hope wananchi watayaona mapungufu hayo na kuchukua hatua za busara.

cc Tumaini Makene, Yericko Nyerere

....

...Asante sana Mkuu uko makini ni hilo haswa Wanakalenga walitambuwe pia Makamanda !!!!!

Kuna ujumbe muhimu sana katika hilo kuwafikishia wapiga Kura.....

cc Makamanda wote mstari wa mbele Kalenga
 
hii post haina ukweli uchaguzi wa ubunge kalenga hali ni mbaya kwa chama cha demokrasia na maendeleo,kiukweli na kuna dalili chama cha mapinduzi kinaweza kushinda uchaguzi kutokana na ushawishi na nguvu ya chama hicho!!!!!

...wenzako wanakusanyana Lumumba ndogo hali ni mbaya mapanga na nondo vimeshindwa!!!
 
mkuu earthmover kiukweli nimeufatilia uchaguzi wa jimbo la kalenga tangu uchaguzi ulipoanza ni ukweli usiopingika kwamba ccm wana nguvu katika jimbo la kalenga kutokana na kumsimamisha mgombea ambaye ni mzaliwa wa kalenga sidhani kama chadema wanaweza kushinda uchaguzi wa kalenga!!!!!
 
....stay tuned hapa hapa Mkuu !!!

Angalia hii picha kwa makini kama GT then utupe majibu

attachment.php

3/27= Lema na umwamba wake wa kaskazini, je mmeshajifikilia zile kata 24 kwanini hamkuzipata?

Kwani zilikuwa za CHADEMA? Mm nafahamu zilikuwa za CCM na mliporwa na nyingine 2. Post bila kufikiri.
 
Jokakuu nakubaliana na we huo ndio ujanja wao wakiboresha tu wamekwisha hakuna kijana wa leo anaewakubali ukiondoa watoto wao na wajinga wachache ambao bado hawajitambui.
 
....stay tuned hapa hapa Mkuu !!!

Angalia hii picha kwa makini kama GT then utupe majibu

attachment.php

mkuu earthmover picha nimeona na kuilewa but huyu dada simfahamu na sijawahi kumuona and as long as i know mgombea ubunge jimbo la kalenga ni godfrey mgimwa huyu dada ametoka wapi?!
 
.....Mkuu Issa asante kwa kuilewa hiyo picha!!!

Kuhusu katoka wapi .....wanajamvi naomba mwenye kumtambuwa huyo dada ashushe data hapa !!!!
 
Mungu endelea kuwanyooshea mawazo ma
zuri wana Kalenga ili hatimae waipigie kura CDM haijalishi inasita changamoto nyingi sana,Mungu Ibariki Chadema na watu wenye mapenzi ya dhati na CDM
 
Mungu endelea kuwanyooshea mawazo ma
zuri wana Kalenga ili hatimae waipigie kura CDM haijalishi inasita changamoto nyingi sana,Mungu Ibariki Chadema na watu wenye mapenzi ya dhati na CDM
 
hii post haina ukweli uchaguzi wa ubunge kalenga hali ni mbaya kwa chama cha demokrasia na maendeleo,kiukweli na kuna dalili chama cha mapinduzi kinaweza kushinda uchaguzi kutokana na ushawishi na nguvu ya chama hicho!!!!!

Mimi mwenyewe niko kalenga hali halisi naiona jinsi chadema inavyo zidi kushamiri katika jimbo hili.....
 
Back
Top Bottom