..G LEMA - Mwamba wa Kaskazini watuwa Kalenga kumalizia KAZI !!!!

Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
22,751
19,987
Kalenga...

Jana wabunge wawili, Godbless Lema (Arusha Mjini) na Mchungaji Peter Msigwa (Iringa Mjini), walitua kwa chopa jimboni humo tayari kuungana na timu ya kampeni huku viongozi wengine wa chama hicho wakitarajiwa kuanza kuwasili leo.


Ikumbukwe Mwamba G Lema anarekodi za kuisambaratisha ccm pamoja na ccm kutumia viongozi wake wa juu na nguvu kubwa za fedha katika Chaguzi ila kwa Mwamba G Lema ccm wamekuwa katika wakati mgumu sana.

Tetesi zilizozagaa hapa Kalenga ni kwamba wanachama wa ccm wanahofia Nguvu kubwa hii iliyowasili licha ya timu iliyotangulia ya vijana wa BAVICHA bado kuwapeleka mpela mpela ccm (kuzidiwa hoja) na ujio wa Mwamba wa Kaskazini na Kamanda Msigwa umezidi kuwatia hofu ccm kuzamishwa katika uchaguzi .

Ikubukwe kwamba Makamanda hawa wanaushawishi mkubwa na kujenga hoja zenye mashiko pindi wanaposhambulia jukwaa bila kusahau ulinzi shirikishi katika zoezi la upigaji wa Kura.



Stay tuned www.jamiiforums .com


1966794_481828895252543_324131251_n.jpg


Makamanda ndani ya Kalenga
 
sasa moto utachochewa mpaka uyeyushe chuma.....safi sana makamanda, tunawaombea kwa Mwenyezi Mungu muwafungue watu wote wa Kalenga vichwa vyao wajitambue jinsi maccm yanavyowaibia usiku na mchana....PEOPLEZZZZZZZ............POWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEER!
 
sasa moto utachochewa mpaka uyeyushe chuma.....safi sana makamanda, tunawaombea kwa Mwenyezi Mungu muwafungue watu wote wa Kalenga vichwa vyao wajitambue jinsi maccm yanavyowaibia usiku na mchana....PEOPLEZZZZZZZ............POWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEER!

....salute Kamanda!!!!

ukoloni waupeke lumumba Kalenga hauna nafasi !!!
 
Inatia moyo ccm kidogokidogo.watapuputika mungu awatangulie tuondowe utawala huu wa ukoo kwa ukoo
 
Lema hafanyagi makosa,hata ccm wanalijua hilo,maana pale Rchuga pamoja na upumbafu wa wanaccm bado wametiwa adabu,mpaka sasa wanaombea pasitokee diwani yeyote gamba afe ama ajiuzulu maana unakuwa mtaji kwa MAKAMANDA.
 
3/27= Lema na umwamba wake wa kaskazini, je mmeshajifikilia zile kata 24 kwanini hamkuzipata?
 
mzee wa kukamata mwizi mdo mdo hakuna jipya tena chadema hapo ni ushindi tu kwani lema hana ushoga na ccm pambana kamanda
mungu ibariki chadema
mungu ibariki tanzania
mungu mbariki lema
mungu mbariki mawazo
mungu mbariki grace
mungu ibariki kalenga
mungu wabariki makamanda wote waliopo kalenga
 
Wakazi wa kalenga kutembelewa na KAMANDA LEMA NI BAHATI YA KIWANGO CHA JUU MNO , MSIFANYE MAKOSA , KATAENI MWINGEREZA .
 
Back
Top Bottom