G. Lema: Kama kuna mtu huoni tatizo hapa nchini, basi wewe ndio tatizo lenyewe

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
IMG-20170326-WA0017.jpg
 
Tundu Lisu mbunge wa chadema na rais wa TLS ametuma maombi ya kwenda kumpongeza rais Magufuli ikulu kwa kazi nzuri
Ndo nimeamini akili n Mali na kila MTU ana zake! Una amini kuwa akifika hapo atasifia na kupongeza kama zuzu LA Lumumba???!!
 
Mwenye akili za kimwakyembe mwakyembe tu ndo hawezi kuona tatizo maana atakuwa akichumia tumbo lake tu.
 
Ndo nimeamini akili n Mali na kila MTU ana zake! Una amini kuwa akifika hapo atasifia na kupongeza kama zuzu LA Lumumba???!!
Hapa alikuwa anasifia au anapongeza..ulishawahi kupata feedback ya walichokuwa wanaenda kukifanya..??hivi walikuwa wakienda wanaenda na ajenda gani??
 
Attachments

  • tapatalk_1484598622637.jpeg
    tapatalk_1484598622637.jpeg
    64.4 KB · Views: 24
Tatizo n viongozi wa upinzani kutwa kulaumu tu bila kutoa mwelekeo na msimamo wenu... sasa tukiona tatizo tufanyeje, ninyi wenyewe waoga na vigeu geu, leo kinafanywa mlichokua mnalilia miaka nenda rudi mnakuja kutuamnisha kua ni tatzo...

Una uelewa mdgo sana, kama hujui wew ni moja ya chanzo cha matatizo nchini. Naamini hata hili huelewi
 
Tatizo n viongozi wa upinzani kutwa kulaumu tu bila kutoa mwelekeo na msimamo wenu... sasa tukiona tatizo tufanyeje, ninyi wenyewe waoga na vigeu geu, leo kinafanywa mlichokua mnalilia miaka nenda rudi mnakuja kutuamnisha kua ni tatzo...
Wapi na lini wapinzani walitamka kulipa visas? Lini wapinzani walidai kufanyike uvunjifu wa katiba? Kweli baadhi ya ninyi fisiem ni sehemu ya tatizo.
 
Back
Top Bottom