G. Civil engineer

Wakuu poleni na majukumu,
Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 25,
Nilikua ninaomba kama kuna mtu ana uhitaji wa civil engineer.
Nmefanya kazi kwenye kampuni ya consulting firm nikiwa na uzoefu wa mwaka mmoja lakini kulingana na soko lilivo kampuni yetu imekosa mradi kwa kipindi hiki.

Nina ujuzi kwenye structural designs, detailing na ni mtaalam wa AutoCAd, programme nazoweza kutumia kwa ufasaha ni AutoCAd, master series, revit architecture & structure, robot structural analysis.

Pia nilifanya kazi za site takribani miezi 6.

Kwa yeyote ambaye yupo tayari naomba tuwasiliane kwa hii namba 0685388169.
Diploma au degree?

Good Neighbour
 
uko registered na bodi ya mainginia? Kama ni sawa.nitafute.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nipo registered kama graduate engineer(G. E) sasa sijajua unazungumzia level ipi.. Ila naomba nikufate PM
 
Kijana naomba nikushauri,,,ww bado ni junior sana , sielewi malengo yako ni yapi ila ningekushauri ukae Na kufikiria unataka kuwa nani baadae ,,, kwa mfano wengi hupenda kuja kuwa Na kampuni zao za ukandarasi ,,, if so nenda mikoani kwenye miradi ya barabara ni rahisi kupata kazi kule jifunze kazi mpaka uelewe Na uwe registered Na board as PEng... ukiwa kwenye kazi utajenga network Na watu ambao baadae watakuja kuwa msaada sana kwako,,,,
Hata kama una malengo ya kuja kuajiriwa serikalini just do the same nenda mikoani ni rahisi kua attached kwenye /taasisi za serikali Na baadae kuajiriwa....
Usipoteza muda wako mjini kwenye kampuni za on/off za wahindi utapoteza muda wako bure...nakuishia kuwa Na geto Na kigari cha kuuzia sura mjini huku kazi hujui Na network yako ndogo.

Nakupa huu ushauri kwa sababu niko kwenye industry hii for more than 13yrs kama professional.
 
Shukrani kwa ushaur wako mkuu, ubarikiwe..
 
Mkuu.. Nin kilikusukuma kuwa civil engineer?

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nmeanza kuijua civil engineering nilipokua form 2,kuna jamaa alikuja shuleni akaanza kutu hadithia series ya prison break na nazani mule michael scolfield alicheza kama civil engineer. Nilipoiona ile movie nkanogewa sana na zile movement zake especially nipojua kuwa ni civil engineer, pili nilikua naweza sana masomo ya science basi nikajkuta toka hapo naanza kuipenda civil engineering..
Ktu kingine nilikua najiuliza yale madaraja yanajengwaje katikati ya bahari basi nkawa napata shauku ya kujua hasa wanafanyaje, automatically mwisho wa siku nkjkuta naipenda hii fani..
 
Mi nahisi... baada ya kuipenda civil, ilibidi uangalie fursa zilizopo ndan ya civil na uchague kitu gan unataka civil ikufanyie...
Mi nikijaribu kusoma uzi wako napata picha ya kijana mmoja ambaye amewekeza sana kwenye kichwa chake.. lakin hujapata njia sahihi ya kutumia madini uliyo nayo.
Ninachoweza kushauri, tafuta watu ambao wapo kwenye game ya civil kitambo halafu jaribu kuangalia jinsi wanavyotumia civil kuingiza kipato... naamin utapata cha kujifunza na kutokea hapo utashika njia sahihi ya kuingiza ela kupitia civil.
[HASHTAG]#mawazo[/HASHTAG] yangu tuu hayo#

Shukrani mkuu, ndo mana nikaja humu najua kuna mchanganyiko wa watu mbalimbali, mim bado mchanga sana kwenye hii fani, nazani kupitia hata hapa ntapata channel na ntaweza kujifunza mengi zaidi..
 
Mi nahisi... baada ya kuipenda civil, ilibidi uangalie fursa zilizopo ndan ya civil na uchague kitu gan unataka civil ikufanyie...
Mi nikijaribu kusoma uzi wako napata picha ya kijana mmoja ambaye amewekeza sana kwenye kichwa chake.. lakin hujapata njia sahihi ya kutumia madini uliyo nayo.
Ninachoweza kushauri, tafuta watu ambao wapo kwenye game ya civil kitambo halafu jaribu kuangalia jinsi wanavyotumia civil kuingiza kipato... naamin utapata cha kujifunza na kutokea hapo utashika njia sahihi ya kuingiza ela kupitia civil.
[HASHTAG]#mawazo[/HASHTAG] yangu tuu hayo#

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana
 
Acha Uchawi wewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom