FyokoFyoko hazitazuia uchaguzi wa Jumapili!!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,950
29,532
Kwa wale ambao hawakusikia kauli ya Amir Jeshi Mkuu ni kwamba Serikali ya JMT itahakikisha kuwa uchaguzi wa marudio unafanyika kwa amani na utulivu kule Zanzibar.

Hizi fyokofyoko za kulazimishia hazitawasaidia wale waliosusa bali zinaongeza morali ya vijana wazalendo na watiifu kwa SJMT kufanya kazi yao.

UKISUSA WENZAKO WALA!!

Narandaranda maeneo ya Tumbatu hapa kwa kazi maalum!!
 
HIZO KARATASI ZENYEWE MPAKA ZIWAHI KUFIKA..WAMEAHIDI 17/3 SIDHANI ZITAWAHI KUCHAMBULIWA NA KUANZA KUSAMBAZWA PEMBA KILA SEHEMU NA PIA UWEZEKANO WA KUWEKWA JINA LA KARUME BADALA YA SHEIN NI MKUBWA SASA SIJUI UTAFANYIKA VIPI
WAMEENDA KUCHAPISHA VIWANDA VYA CHOCHORONI ILI WAPATE KULA..
 
Hakika nimeamini kwamba siyo kweli kwamba kila kichwa kimebahatika kufikiri vema
 
HIZO KARATASI ZENYEWE MPAKA ZIWAHI KUFIKA..WAMEAHIDI 17/3 SIDHANI ZITAWAHI KUCHAMBULIWA NA KUANZA KUSAMBAZWA PEMBA KILA SEHEMU NA PIA UWEZEKANO WA KUWEKWA JINA LA KARUME BADALA YA SHEIN NI MKUBWA SASA SIJUI UTAFANYIKA VIPI
WAMEENDA KUCHAPISHA VIWANDA VYA CHOCHORONI ILI WAPATE KULA..
Hebu usipokee mapokeo kutoka vijiwe vya gahawa subiri jumapili watu wapige kura kwa amani na utulivu
 
Kwa wale ambao hawakusikia kauli ya Amir Jeshi Mkuu ni kwamba Serikali ya JMT itahakikisha kuwa uchaguzi wa marudio unafanyika kwa amani na utulivu kule Zanzibar.

Hizi fyokofyoko za kulazimishia hazitawasaidia wale waliosusa bali zinaongeza morali ya vijana wazalendo na watiifu kwa SJMT kufanya kazi yao.

UKISUSA WENZAKO WALA!!

Narandaranda maeneo ya Tumbatu hapa kwa kazi maalum!!
Mungu alitujaalia kuwa na Akili kwa makusudi kuwa Akili ndio ituongoze kabla ya kufanya chochote. Mtu yeyote anayetanguliza Akili kumwongoza hufanikiwa kwa kiwango kikubwa sana kuliko afanyae tofauti. Ratio ya matumizi ya Akili dhidi ya Mabavu inapokuwa ndogo,tegemea Hasara kubwa pamoja na kuwa mtu huweza kuona amefanikiwa kumbe ni vice versa. Ni Upumbavu kutumia mabavu Zanzibar. Huko kutaua au kujeruhi moyo wa Kitaifa. Tutashangilia haya kwa sasa,ila gharama yake hapo baadae ni kubwa na ya kujutia. Haihitaji shule yoyote kutambua haya. Ni vema Waafrika tukafika mahali pa kuheshimiana na kupendana badala ya kujiona kundi hili ndilo lenye Haki na lile halina Haki. Uongozi ni Influence na sii Force, ku achieve lolote kwa Force kunakosa Legitimacy, NI SHETANI PEKEE NA WATU WAKE NDIO WASIO NA LEGITIMACY katika maisha ya Watu.
 
Mabavu ni kulazamishia kutangazwa mshindi ilhali uchaguzi ulivurugika..
 
Pale ccm wanaposhindwa basi Uchaguzi unakuwa umevurugika sio? Basi hata Lubuva alipaswa kufuta Uchaguzi kwa sababu Makamba alitangaza kuwa ccm na Magufuli wameshinda hata kabla ya Lubuva.
 
Kurudia uchaguZI ZNZ ni kuharibu pesa za walipa kodi.

Hospitali huduma ni mbovu bado, mashuleni tumeambiwa Elimu bure lakini pesa iliyopelekwa ni kiduchu hadi sasa.

Huduma za jamii mfano maji bado ni tatizo maeneo mengi ya JMT hadi sasa.

Miundo mbinu bado ni mibovu hadi sasa.

JE HIZI PESA ZA UCHAGUZI WA MARUDIO KWANINI ZISIPELEKWE SEHEMU ZENYE UHABA WA HUDUMA ZA JAMII???

TAFAKARI CHUKUA HATUA!!!!!!!!!!!!!!!
 
Zanzibar ikiharibika kwa vurugu usitegemee na bara patakuwa salama kwa kuwa wote ni watanzania. Cha msingi ni kumwomba mungu aepushe mbali vurugu na si kuwa na mtazamo wako huo. Watakao pata shida ni wanawake, watoto na wazee. Hata vijana watadhirika kwa namna tofauti endapo vurugu zitaibuka zanzibar. Usipo athirika wewe, atadhirika ndugu yako. Nakushauri usifurahie unachosifia mkuu.
 
Karatasi za kura zilizo kosewa zilikua zifike jana 17/3
Jee zimefika?
Maana tumebaki na ijumaa na jumamosi kuzigawa..isije kuwa jecha kaufuta tu kivyake
 
Back
Top Bottom