FYI Kenya sio Tanzania

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,599
12,216
Kuna watu wasio jielewa kwa kipindi kirefu sana wamekuwa wakilinganisha matukio ya Kenya na Tz. Lakini ukiangalia kwa undani wengi hawajuwi kuwa Jamuhuri ya watu watanzania ni moja ya jamuhuri yenye uwezo wa ajabu sana ktk kutawala mambo yote ya kiuchumi,siana na usalama wa taifa ktk namna ambayo hata Kenya hawezi kutufikia.

Tanzania kinaitwa kisiwa cha amani ila mimi naweza kukuambia sisi sio kisiwa cha amani ila nikisiwa cha kiusalama zaidi ktk kuwa na amani. Kwanza nilazima mkumbuke ujenz wa taifa la Tz vs Kenya tumetofautiana sana sana kias East Africa kwa Tz tunawatimulia mavumbi wasijuwe nini kinaendelea.

Siwezi kusema sana ila kama kuna mahali inatupasa kumshukuru Mungu kwa miujiza basi Hayati baba wa Taifa ndio muujiza wa kwanza kwetu. Mwl alijenga taifa moja katikati ya makabila mengi. Tulichanganywa kiasi sio rahisi tena kitengana. Tz ukabila ni mwiko hata kama upo ila hausemeki. Pia sisi ni baba wa maarifa ya kivita na kiusalama. Nisiseme sana ila amin haya kenya kamwe haiwez kuwa Tz wala Tz haiwez kuwa Kenya.

Hili ni taifa lakuheshimika sana barani Africa na wazungu wanajuwa.
 
mh! hebu fafanua na uonyeshe theme ya hii post maana lo! kama ingekuwa term paper nadhan Profesa angeshindwa aanzeje kuipa marks hiyo paper.
 
Hayo unayotaongea ilikuwa zamani siku hizi kila ccm inavyozidiwa na vyama vya upinzani chama hiki kikongwe kimekuwa kikihubiri udini na ukabila ili kuwagawa watz ili kiendelee kutawala
 
Back
Top Bottom