FY2021/22 Bajeti ya barabara Singida yaongezwa kwa 370% kutoka TZS 6.1BL hadi TZS 22.4BL

===
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu amewataka Wananchi wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida kuzitunza barabara zilizojengwa na Serikali ili ziweze kudumu muda mrefu.

Mhe. Ummy ametoa ombi hilo wakati akizungumza na wananchi hao wakati akikagua barabara ya Singa- Kinampundu-Ilunda iliyojengwa kwa kiwango cha changarawe katika ziara ya kikazi ya siku moja wilayani humo ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo.

"Jambo lililokubwa niwatake wananchi mzitunze hizi barabara kwa sababu Serikali inazitengeneza lakini kunawananchi wanapitisha majembe ya kukokotwa na ng'ombe na vitu vingine vinavyoharibu barabara kwa hiyo niwatake ulinzi wa barabara uwe ni jukumu letu sote kwa sababu fedha zilizotumika kuzitengeneza ni nyingi hivyo tunatamank ziendelee kuwa na ubora na zisaidie kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi" alisema Waziri Ummy.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Belinth Mahenge amesema hivi karibu wameshasaini Mikataba 16 yenye thamani ya sh. Bil 12.5
kwa ajili ya ujenzi wa barabara mbalimbali za Mkoa wa Singida.

Bajeti ya barabara kwa Mkoa wa Singida imepanda kutoka TZS 6.1BL kwa mwaka 2020|21 mpaka TZS 22.4BL hivyo barabara nyingi za mkoa huo zitaimarika kutoka na ongezeko la Bajeti hiyo.Hapa lazima tumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwani ndio chanzo cha bajeti hii,

Akitoa taarifa ya ujenzi wa barabara hiyo Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara Mijini na Vijiji wa Wilaya ya Mkalama, Edward Masola alisema matengenezo ya barabara hiyo yatagharimu kiasi cha Sh.milioni 91,201,000.

Alisema barabara hiyo ambayo inaunganisha Kata za Ilunda na Kinampundu itakapokamilika itarahisisha usafiri kwa wananchi kufikia huduma za elimu, afya na masoko.

View attachment 2053904

View attachment 2053905
kazi nzuri sana
 
Huyu mama anafanya kazi nzuri sana aise,
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Daaah, Mama anapiga kazi balaa
Achana na wapuuzi wenye chuki zao mkuu,mama anaturudisha kwenye uchumi wa enzi za JK.

Kama unapenda pesa na kustawi hiki ndio kipindi chake kabla hajaja sherwani mwingine 😃😃.

Ona Takwimu zinavyombeba hapa 👇

Screenshot_20220108-201919.png

Screenshot_20220108-223349.png

Screenshot_20220108-201219.png

Screenshot_20220108-201608.png

Screenshot_20220107-173944.png

Screenshot_20220107-205854.png

Screenshot_20220107-064718.png

Screenshot_20220107-064427.png

Screenshot_20220105-210157.png

Screenshot_20220106-133344.png

Screenshot_20220104-212708.png

Screenshot_20220102-155425.png

Screenshot_20220102-155444.png

Screenshot_20220102-155026.png

Screenshot_20211228-220344.png

Screenshot_20211224-144305.png

Screenshot_20211223-110759.png

Screenshot_20211209-214614.png
 
Back
Top Bottom