Elections 2010 Fuya Kimbita agoma kusaini matokeo ya ushindi wa Mbowe

Status
Not open for further replies.
Jamani tusije tukajipa moyo hapa JF kwa matokeo ya uongo. Kule TBC matokeo rasmi wanatangaza kuwa mpaka sasa ni majimbo 26 tu ndo yametangazwa washindi wake na CCM wameshinda majimbo 18, Chadema jimbo 1 na CUF majimbo 7.

Naona members tunaanza kudanganyana hapa. Anyway mi ngoja niamie kwenye TV tu....hapa baadhi ya members sio credible!!
 
Mkuu matokeo tunayapata sisi kabla ya hao waandishi. Huko kwenye TV wamewaambia kuwa Fuya kazomewa? Wametangaza kuwa Sugu kashinda? Walikuwepo kwenye majumuisho ya kura? Wamesema kuwa Mramba kapoteza jimbo? Wamemtangaza Lyatonga kuwa ameshinda kwa kishindo?
Wamewaambia kuwa hapa Hai wananchi wanapanga kuvunja geti la ofisi za wilaya wakamchape Fuya? Inakuwaje unamwamini anayezungumza unashindwa kuamini maandishi?

COMMON SENSE IS COMMON BUT THE USE OF COMMON SENSE IS UNCOMMON.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom