Future ya Petroleum Chemistry Tanzania ikoje?

Hashimu lwenje

JF-Expert Member
Oct 2, 2017
415
359
Kuna mdogo wangu amejiunga na BSc Petroleum Chemistry UDSM, mwaka huu, kila siku amekua akini pigia simu kuwa anataka kuacha kusoma hiyo kozi, apply kozi nyingine mwakani. Wadau nyie mnashauri nini huyu dogo aache hii kozi au aendelee nayo?
Na je future ya hii kozi ikoje?
 
Hamna kitu hapo boss.

Ukirudi kitaa utasugua benchi tu. Hakuna namna
 
Kuna mdogo wangu amejiunga na BSc Petroleum Chemistry UDSM, mwaka huu, kila siku amekua akini pigia simu kuwa anataka kuacha kusoma hiyo kozi, apply kozi nyingine mwakani. Wadau nyie mnashauri nini huyu dogo aache hii kozi au aendelee nayo?
Na je future ya hii kozi ikoje?
Kwa tanzania ya viwonder simshauri unless kama ana connection.

Kama apisoma pcm asome civil au electrical au mechanical...
 
Abadir bora aende civil anaweza otea miradi ya magufuli kwa miaka 7 ikiobaki dogo atakuwa mashagraduate huko aliko ajira hakuna tena zaidi ya hakuna graduate wa udom hiyo kozi wapo tu mtaani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom