FUTUHI ndio comedians pekeee waliobaki TZ

Huo ndio ukweli mtupu!

Mie naamini Star TV kwa sasa ndio TV iliyokamilika kila idara!!

Haina ubaguzi wa kisiasa kama TBC,Clouds TV na Uhuru!

Na FUTUHI wanavunja mbavu hasa!Hakika ni kiboko ya vipindi vyote vya komedi TZ!
 
Ni kweli mimi ananifurahisha sana brother k na bibi ila nilisikitika sana walipotengana na wale wengine tunawaomba muungane
 
Huo ndio ukweli mtupu!

Mie naamini Star TV kwa sasa ndio TV iliyokamilika kila idara!!

Haina ubaguzi wa kisiasa kama TBC,Clouds TV na Uhuru!

Na FUTUHI wanavunja mbavu hasa!Hakika ni kiboko ya vipindi vyote vya komedi TZ!

umeshawahi kumuona mbunge wa ilemela highness kiwia star tv?
 
futuhi wapo juu kwa kweli napenda sana citizen ya kenya na kipindi chao cha NASWA yaani wale jamaa ni balaa
 
futuhi wapo juu kwa kweli napenda sana citizen ya kenya na kipindi chao cha NASWA yaani wale jamaa ni balaa
Wakenya wapo vizuri kwenye komedy zao kama ni kuchekesha hawana maneno mengi mfano hiyo naswa haina neno hata moja lakini ukiangalia unaongeza siku za kuishi. V
 
Wafuatao ni orodha ya wapenda maigizo na vichekesho,
1.Mahouse girl
2.Wanawake wamama wa nyumbani.
3.Wanafunzi msingi na sekondari.
4.Wanaume wasio na hulka ya kujisomea vitabu wala internet.
 
nakubaliana na wewe,FUTUHI na ------ wako juu,lakini hao wakina Bambo au Mkandamizaji hawana lolote na wala hawachekishi
 
Wafuatao ni orodha ya wapenda maigizo na vichekesho,
1.Mahouse girl
2.Wanawake wamama wa nyumbani.
3.Wanafunzi msingi na sekondari.
4.Wanaume wasio na hulka ya kujisomea vitabu wala internet.

makameeeeeeeee huu ni ukwei nchungu na hao pia ndio wapenzi wa bongo mavi.
 
Hawajamaa ni noma,
Hasa yule bother K, duu wamaebarikiwa vipaji. Hata kama una mawazo vipi ukiwaangalia futuhi lazima utacheka tu.
Big Up sana FUTUHI na Star tv.
Mimi nikiangalia futuhi nachukia na kusikitika! Level ya komedi yao ni ya kiswazi mno. Katika kila
onesho lazima kugombana, kukatana mtama vitatokea. Ni komedi hiyo? Kila futuhi ikianza nabadili chaneli.
 
Wafuatao ni orodha ya wapenda maigizo na vichekesho,
1.Mahouse girl
2.Wanawake wamama wa nyumbani.
3.Wanafunzi msingi na sekondari.
4.Wanaume wasio na hulka ya kujisomea vitabu wala internet.
Exactly Makamee, U R very very right!
 
Last edited by a moderator:
Kuna wale pika bom naoma walikuwa vizuri sana ingawa nina muda sijawaona.
Kuna yule mangi aliyekuwa anaidesign naona siku hizi ana vipindi vya watoto vinavodhaminiwa na c.r.d.b. .......'' hisabati ni maumbo ya urefu na upana''.............................hebu esabu madoa yangu kenye ngozi ......umepata mangapi....? unapokula ugali unahesabu matonge......,
 
Wafuatao ni orodha ya wapenda maigizo na vichekesho,
1.Mahouse girl
2.Wanawake wamama wa nyumbani.
3.Wanafunzi msingi na sekondari.
4.Wanaume wasio na hulka ya kujisomea vitabu wala internet.

Hahahahahaha ukweli mchungu huu. Umewapatia mle mle
 
Back
Top Bottom