Kujulishana fursa za kibiashara zinazozunguka maeneo ya vyuoni hapa nchini

Diwani

JF-Expert Member
Oct 25, 2014
2,672
2,697
Kama umeshausoma mchezo wa biashara maeneo ya vyuo, basi uzi huu mfupi wenye madini hautakuwa mgeni kwako.

U hali gani mwana jamvi? Mimi mzima kabisaaa, lengo langu ni kujulishana fursa za kibishara zinazozunguka maeneo ya vyuoni hapa nchini, kwa waliosoma vyuo wananielewa ni kwa namna gani mzunguko wa pesa ulivyo mkubwa mavyuoni.

Mbali na vyuo hivi vikubwa kurundikwa na wimbi la wafanya biashara wazoefu na wa muda mrefu, leo nakutambulisha rasmi juu ya fursa ya biashara katika chuo cha Utawala na siasa cha Mwalimu Julius Nyerere pale kibaha.

Skia, najua unafahamu, ila issue zaidi iko hivi, nimekuwa nikitembelea chuo hiki tangu kikiwa ni matofali matupi, nilichogundua ni kuwa, watu wengi hawajakifahamu, chuo iki kimejengwa kwa ushirikiano wa vyama vya ukombozi vya Tanzania, China, Afrika Kusini na Zimbawe, hivyo tutegemee kuwa wanafunzi wa hapo wengi watakuwa wageni.

MAZINGIRA YAKOJE?
Unaposhuka tu stendi ya Kibaha kwa Mfipa, unaweza kuchukua boda ama kupiga ngondi mpaka shule, sio parefu saaaana, ni kama KM 2 hivi, fremu bado hazijaanza hata kujengwa kwa wingi, ndio kwanza nilikuta fremu ambazo 95% hazijaisha. Mara ya mwisho nilitembelea mwezi wa 7.

KUMEKUCHA JAMANIIII'
Chuo ndio kinaanza usaili mwaka 2020, huenda na watu wapo chimbo wanasoma this time

Biashara zinazofaa kwa chuo si mnazijua?
1. Chakula
2. Mavazi
3. Vifaa vya umeme
4. Huduma ya unadhifu, kama saluni, cure etc
5. Maduka

Etc

Lakini bila kusahau Stationary.

Kazi yangu mimi sio kukupa mchanganuo wa ki biashara, ila nakutarifu tuu kuwa bado hapajakucha, usije sema hukuambiwa, pakianza kuwa patamu hapatashikika, sio tuu kwa nafasi za kufanya biashara, ila tuu gharama za kodi.

Na kwa taarifa yako sasa, sio rahisi wanafunzi kutoka Kibaha kwa Mfipa mpaka kariakoo kutafuta kava la simu la 5000 , hakuna anayetaka masuala ya kubebana kama kwaya kwenda kariakoo kununua viatu, na wengi ni wageni, wanapajulia wapi

Halafu, unataka kaunzisha biashara ya saluni ya kiume na hujaona uzi wangu wa vifaa vya Saluni, ambavyo muda huu kwa bei ile rahisi unajifikiria kununua, pakikucha hapakaliki.

Lakini hata kama wataka fremu ile mitaa, mimi namba yangu ni ile ile tuuu.

0743123946.
 
Jamani weeeeeh!!! Saluni hii hapa, hakuna tena haja ya kuanza kusaka kitu kimoja kimoja madukani,

Njoo uchukue, tunauza kwa namna hii
1. Kiti cha kunyolea na kusubiria -270k

2. Mashine ya kunyolea ya HOME CUT na droo 110k

3. Feni na vioo 150k

4. Pazia na vitambaa vya shingo (2) 25000

Mazungumzo yapo.

Nicheki 0743123946 tuongee.
 
IMG_8744.jpg

IMG_8745.jpg

IMG_8746.jpg

IMG_8747.jpg

IMG_8750.jpg

IMG_8752.jpg

IMG_8749.jpg

IMG_8748.jpg

IMG_8743.jpg
 
Kama umeshausoma mchezo wa biashara maeneo ya vyuo, basi uzi huu mfupi wenye madini hautakuwa mgeni kwako,

U hali gani mwana jamvi? Mimi mzima kabisaaa, lengo langu ni kujulishana fursa za kibishara zinazozunguka maeneo ya vyuoni hapa nchini, kwa waliosoma vyuo wananielewa ni kwa namna gani mzunguko wa pesa ulivyo mkubwa mavyuoni.

Mbali na vyuo hivi vikubwa kurundikwa na wimbi la wafanya biashara wazoefu na wa muda mrefu, leo nakutambulisha rasmi juu ya fursa ya biashara katika chuo cha Utawala na siasa cha Mwalimu Julius Nyerere pale kibaha.

Skia, najua unafahamu, ila issue zaidi iko hivi, nimekuwa nikitembelea chuo hiki tangu kikiwa ni matofali matupi, nilichogundua ni kuwa, watu wengi hawajakifahamu, chuo iki kimejengwa kwa ushirikiano wa vyama vya ukombozi vya Tanzania, China, Afrika Kusini na Zimbawe, hivyo tutegemee kuwa wanafunzi wa hapo wengi watakuwa wageni.

MAZINGIRA YAKOJE?
Unaposhuka tu stendi ya Kibaha kwa Mfipa, unaweza kuchukua boda ama kupiga ngondi mpaka shule, sio parefu saaaana, ni kama KM 2 hivi, fremu bado hazijaanza hata kujengwa kwa wingi, ndio kwanza nilikuta fremu ambazo 95% hazijaisha. Mara ya mwisho nilitembelea mwezi wa 7.

KUMEKUCHA JAMANIIII'
Chuo ndio kinaanza usaili mwaka 2020, huenda na watu wapo chimbo wanasoma this time

Biashara zinazofaa kwa chuo si mnazijua?
1. Chakula
2. Mavazi
3. Vifaa vya umeme
4. Huduma ya unadhifu, kama saluni, cure etc
5. Maduka

Etc

Lakini bila kusahau Stationary.

Kazi yangu mimi sio kukupa mchanganuo wa ki biashara, ila nakutarifu tuu kuwa bado hapajakucha, usije sema hukuambiwa, pakianza kuwa patamu hapatashikika, sio tuu kwa nafasi za kufanya biashara, ila tuu gharama za kodi.

Na kwa taarifa yako sasa, sio rahisi wanafunzi kutoka Kibaha kwa Mfipa mpaka kariakoo kutafuta kava la simu la 5000 , hakuna anayetaka masuala ya kubebana kama kwaya kwenda kariakoo kununua viatu, na wengi ni wageni, wanapajulia wapi

Halafu, unataka kaunzisha biashara ya saluni ya kiume na hujaona uzi wangu wa vifaa vya Saluni, ambavyo muda huu kwa bei ile rahisi unajifikiria kununua, pakikucha hapakaliki.

Lakini hata kama wataka fremu ile mitaa, mimi namba yangu ni ile ile tuuu.

0743123946.

Asante sana
 
Back
Top Bottom