Fursa zipo nyingi sana, 5 Online Projects

Karibu mkuu!

Kuna options mbili hapa za u admin

1. Kuwa general system admin, hapa utakuwa na uwezo wa ku admin the whole system kwa mfumo wa resell.

2. School admin, hapa institute husika itachagua admin ambaye atakuwa responsible kwenye ku add tutors na kusimamia mfumo mzima kwa ngazi ya shule
Mkuu Kama unaweza tengeneza E- learning ambayo mtu akiitaji notes analipia.Niliwahi ona Azam news kuna jamaa anauza ingawa sikupata contact zake.Yaan mwanafunzi akidowload notes analipia.
 
Mkuu Kama unaweza tengeneza E- learning ambayo mtu akiitaji notes analipia.Niliwahi ona Azam news kuna jamaa anauza ingawa sikupata contact zake.Yaan mwanafunzi akidowload notes analipia.
Kila kitu kinawezekana mkuu!!
 
Back
Top Bottom