Fursa za kusoma nje zipo ila sioni watanzania tukizichangamkia

Stavenger kuzuri...
I was once there...
Ila ungekuwa Oslo ungekula Maraha sana maana ni mji mkubwa halafu wenye mchanganyiko wa watu mbali mbali
KAMA KICHWA CHA UZI KINAVYOJIELEZA :

Karibu tuweze kushare fursa mbali mbali zinazopatikana nje ya mipaka ya nchi yetu ya TANZANIA.

Uzi huu ni maalumu kwa wote wenye roho nyeupe na mawazo chanya yatakayotuwezasha kuleta maendeleo katika nchi yetu..

kwa kuzifukuzia fursa nje ya nchi.

Tatizo... Fursa za Nje ya Nchi : Scholarship(Kusoma), Ajira/kujiajiri, Biashara/kuwekeza, Ndoa/Dating,
 
Nimeona vyuo vingi ulaya vikitoa nafasi kwa international students kujiunga na kusoma bure.

Kinachonishangaza Ni kutokuona Watanzania tukizichangamkia hizi fursa,

kazi yetu Ni:-

1.kuota utajiri tukiwa vitandani kwa ndugu mijini
2. Kutumia 3/4 ya siku nzima kuongelea "mbususu" na kuwaongelea kina " Jack chacha" wa Kona baa.

3. Kuwapinga wanaoonekana kuleta maada za maendeleo + mafanikio.

4. Kutumia social media kuwasema vibaya kina CCM na kina CHADEMA huku tukisahau hawaleti pesa mifukoni mwetu ( hapa Ni mmoja wao)

5. Kutembeza bahasha za kaki maofisini ( hapa pia nipo).

Graduates tuchangamke , twendeni nje tukajilipue Kama Nigerians.

Tukumbuke maisha yakigoma nyumbani tujaribu na kwingine.

Nimejitoa kwenye chama Cha watembeza bahasha maofisini
Naenda Norway tuombeane.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Wanasubilia kuja kulalamika mkuu na kulaumu Wakenya 😁😁😁😁
 
Mkuu upo karne ya ngapi...? Unaishi kwenye mapango?

Nenda znz ukaone wamasai wanavyobonga ki russia na wazungu nenda china ukaone wachina wanaojifunza kiswahili , nenda ujerumani uone watu wanaotoka huko kwenda U.S vijijini huko kufanya kazi na biashara!

Dunia ya sasa muingiliano ni mkubwa sana ...
utake usitake mabadiliko ni lazima!!!

Acha kujifeel inferior, epuka hiyo mentality yako ya miaka nenda rudi kuhusu utumwa.. !
Hebu nihakikishie jinsi watu walioenda kusoma ulaya walivyoisaidia TZ au Africa.
Wazungu wanadhulumu watu wa Afrika mimi nifurahi tu.
Muafrica akibuni jambo huko ulaya ni kwa faida ya wazungu, mpaka lini watu wetu watatumiwa na wazungu badala ya kuisaidia Aftica.
Kama una tamaa ya kwenda kushangaa magholofa ulaya nenda tu ila binafsi sioni mchango wowote wa maana wa wanaokwenda kusoma ulaya.
 
Nimeona vyuo vingi ulaya vikitoa nafasi kwa international students kujiunga na kusoma bure.

Kinachonishangaza Ni kutokuona Watanzania tukizichangamkia hizi fursa,

kazi yetu Ni:-

1.kuota utajiri tukiwa vitandani kwa ndugu mijini
2. Kutumia 3/4 ya siku nzima kuongelea "mbususu" na kuwaongelea kina " Jack chacha" wa Kona baa.

3. Kuwapinga wanaoonekana kuleta maada za maendeleo + mafanikio.

4. Kutumia social media kuwasema vibaya kina CCM na kina CHADEMA huku tukisahau hawaleti pesa mifukoni mwetu ( hapa Ni mmoja wao)

5. Kutembeza bahasha za kaki maofisini ( hapa pia nipo).

Graduates tuchangamke , twendeni nje tukajilipue Kama Nigerians.

Tukumbuke maisha yakigoma nyumbani tujaribu na kwingine.

Nimejitoa kwenye chama Cha watembeza bahasha maofisini
Naenda Norway tuombeane.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hizo fursa link zipo wapi
 
Mkuu Tangulia utakuja kunipokea uko Norway 2023
Kama mambo yataenda sawa

Mungu ni mwema
 
CANADA SCHOLARSHIP 202I, STUDY IN University of Toronto UNIVERSITY(CANADA) FULLY FUNDED SCHOLARSHIP FREE

Benfit of 2021 scholarship at University of Toronto University.

The scholarship will cover.
-Full Tuition Fee
-Living Allowance
-Acoomodation
-Medical Facilities
-Traveling Allowance
-Stationery Allowance.
APPLY HERE

CANADA SCHOLARSHIP 202I, STUDY IN University of Toronto UNIVERSITY(CANADA) FULLY FUNDED SCHOLARSHIP FREE

Benfit of 2021 scholarship at University of Toronto University
.

The scholarship will cover.
-Full Tuition Fee
-Living Allowance
-Acoomodation
-Medical Facilities
-Traveling Allowance
-Stationery Allowance.
APPLY HERE

Leteni link zenye uhakika..kama hii imekaa kupoteza muda kabisa ndug
 
Nimeona vyuo vingi ulaya vikitoa nafasi kwa international students kujiunga na kusoma bure.

Kinachonishangaza Ni kutokuona Watanzania tukizichangamkia hizi fursa,

kazi yetu Ni:-

1.kuota utajiri tukiwa vitandani kwa ndugu mijini
2. Kutumia 3/4 ya siku nzima kuongelea "mbususu" na kuwaongelea kina " Jack chacha" wa Kona baa.

3. Kuwapinga wanaoonekana kuleta maada za maendeleo + mafanikio.

4. Kutumia social media kuwasema vibaya kina CCM na kina CHADEMA huku tukisahau hawaleti pesa mifukoni mwetu ( hapa Ni mmoja wao)

5. Kutembeza bahasha za kaki maofisini ( hapa pia nipo).

Graduates tuchangamke , twendeni nje tukajilipue Kama Nigerians.

Tukumbuke maisha yakigoma nyumbani tujaribu na kwingine.

Nimejitoa kwenye chama Cha watembeza bahasha maofisini
Naenda Norway tuombeane.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu umepata scholarship?kama ndio unaweza kuweka link uliyotumia kuapply?
 
Back
Top Bottom