Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 636
- 1,115
Nimeona vyuo vingi ulaya vikitoa nafasi kwa international students kujiunga na kusoma bure.
Kinachonishangaza Ni kutokuona Watanzania tukizichangamkia hizi fursa,
kazi yetu Ni:-
1.kuota utajiri tukiwa vitandani kwa ndugu mijini
2. Kutumia 3/4 ya siku nzima kuongelea "mbususu" na kuwaongelea kina " Jack chacha" wa Kona baa.
3. Kuwapinga wanaoonekana kuleta maada za maendeleo + mafanikio.
4. Kutumia social media kuwasema vibaya kina CCM na kina CHADEMA huku tukisahau hawaleti pesa mifukoni mwetu ( hapa Ni mmoja wao)
5. Kutembeza bahasha za kaki maofisini ( hapa pia nipo).
Graduates tuchangamke , twendeni nje tukajilipue Kama Nigerians.
Tukumbuke maisha yakigoma nyumbani tujaribu na kwingine.
Nimejitoa kwenye chama Cha watembeza bahasha maofisini
Naenda Norway tuombeane.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app