Fursa za Kujiajiri

stormryder

JF-Expert Member
Mar 23, 2013
3,616
5,528
Kutokana na ukuaji wa Teknolojia, ongezeko la vyuo na fani mbali pia na upanukaji wa soko la Afrika Mashariki, Je kama vijana wa Kitanzania tumechukua hatua gani katika kutatua changamoto kupitia Biashara.
 
Can we start to share right now . unadhani kuna fursa gani kulingana na mahitaji na wakati husika
Kwa sasa Dunia ipo kwenye 4th Industrial Revolution ambayo inahusu AI(Artificial Intelligence), Robotics, IoT(internet of Things), Big Data, Quantum Computers, Changamoto tulio nayo hapa kwetu ni kwamba bado tupo nyuma kwenye masuala ya Robotic, quntum Computers, ila kwa IoT, AI, na Big Data hizi ni fursa za wazi kwa kila sekta hapa nchini, Kuna mtu humu ndani ametoa wazo ambalo lipo kwenye sehemu ya Big Data. kuhusu system itakayo kuwa na taarifa nyingi za watu ambazo zinaweza kutumiwa na mtu mwingine kwa faida
 
Ooh. Tunaweza kufanya kitu? Coz the world not sleeping but we Tanzania tunalala mno na kubaki kuwa wasifiaji nadhani mm na we tunaweza Fanya kitu sio?
 
Back
Top Bottom