Fursa ya uwekezaji bandari kavu-Kwala Ruvu

beko

Senior Member
Apr 11, 2011
189
91
Ujenzi wa Bandari kavu unaendelea kule Kwala-Ruvu.
kuna fursa nyingi za Biashara, Viwanda n. k

Kama unaitaji Ardhi kwa ajili ya kununua, au kukodisha ni bora ukawahi sasa. Ziko ekari zaidi ya 30 kwa ajili hiyo.
Unaweza wekeza kwenye biashara zifuatazo
1. Mahoteli
2.Maofisi mbalimbali hasa za clearing & Fowardings
3.Stores za bidhaa mbalimbali
4.Packing za Malori na magari mbalimbali
5.Nyumba za kulala wageni
6.Garages
7.Godowns
8.Viwanda mbalimbali- Reli ipo mita 400 tuu kutokea hapo

tuma maombi yako

joemi.investment@gmail.com
 
Ungeweka bei ingependeza zaidi
 
Heka 2 bei gani mkuu, je mnatoa na hati miliki?
 
Back
Top Bottom