Young rich nigga
Member
- Dec 29, 2017
- 74
- 100
Analysis yangu ya zao la mpunga kwa mkoa wa Morogoro iko hivi:
Kwamsimu huu wa 2019/2020 mvua zimenyesha nyingi mnoo na kusababisha baadhi ya wakulima kuchelewa kupanda mbegu mpaka hivi ninavyooandika hii comment bado kuna watu wapo na mbegu ndani.
Kwa element hii itasababisha zao la mpunga kwa mkoa wa Morogoro kuanza kwa bei ya juu kidogo tofaut na msimu wa 2018/2019 na kumalizia na bei ya juu zaid ya msimu uliopita.
Iko hivi...
Mvua zikiwa nyingi sana bei inapanda kwa kiasi
Mvua zikiwa constant bei itakua chini/normal coz mavuno yatakua mengi
Kukiwa na ukame LAZMA bei ipande kupindukia coz mavuno yatakua machache kutoka na wakulima kushindwa kupata mavuno yakutosha na waliopata bac n wale wa kilimo cha kumwagilia
,,,,,,,,Do What To Do,,,,,,,,
Kama una mtaji ni muda wa kwenda kununua stick ya mpunga na kusubiri bei kupanda then thank me later