Fursa ya Kilimo cha Korosho Manispaa ya Lindi

Mkaa mweusi unauliza Kama zinastawi au Nini unataka Nini fafanua zaidi tuweze kukusaidia
Ahsante kwa ukarimu mkuu,

Mimi nilipata habari ya shamba linapatikana mtwara vijiji ekari 8 kwa 2.5mil, linamikorosho kiasi kama 7¼ekari,
Sifahamu chochote kuhusu kilimo cha korosho.
Je nikilipa hiyo pesa ni sahihi au nitakuwa nimeliwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom