Hayo mazao Ni adhimu tatizo Ni wapi utapata Miche ya mimea hiyoNani mtaalam was kukuelekeza A-Z YLya mazao hayo kwa maana :Ukiweza kulima iliki utakuwa Tajiri..
Naona watu wanaolima kama hawataki wengine wajue..
Iliki
Tangawizi
Vitunguu saumu
Abdalahsini
Mie nimkazi waturiani morogoro zao la iriki linalimwa sana tu japo bei zake zinabadirika sana nahii nikutokana nabei zasoko ladunia, ila ulimaji wake niwakienyeji zinalimwa msituni huko milima yaunguu, kilo ya iriki iliokauka c mchezo kuipata mana inakua nyepesi sana hata ikiuzwa bei kubwa nihalali sio kama kokoaHayo mazao Ni adhimu tatizo Ni wapi utapata Miche ya mimea hiyoNani mtaalam was kukuelekeza A-Z YLya mazao hayo kwa maana :
UPATIKANAJI WA MICHE
UPANDIKIZAJI
UTUNZAJI
UVUNAJI NA
MASOKO
Mkuu vipi bado magimbi yanalimwa huko milima ya nguu mndelaMie nimkazi waturiani morogoro zao la iriki linalimwa sana tu japo bei zake zinabadirika sana nahii nikutokana nabei zasoko ladunia, ila ulimaji wake niwakienyeji zinalimwa msituni huko milima yaunguu, kilo ya iriki iliokauka c mchezo kuipata mana inakua nyepesi sana hata ikiuzwa bei kubwa nihalali sio kama kokoa
Magimbi yanalimwa mkuu mwez waramadhan maboss ndio wanaweka kambi, changamoto nihawa watu wamaliasili wanaharibu mazio kwamba wamevamia hifadhi yamsituMkuu vipi bado magimbi yanalimwa huko milima ya nguu mndela
Doh,fursa ishaingia mdudu tena.Magimbi yanalimwa mkuu mwez waramadhan maboss ndio wanaweka kambi, changamoto nihawa watu wamaliasili wanaharibu mazio kwamba wamevamia hifadhi yamsitu
Japo wadau wanaendelea ila nikama kamaliDoh,fursa ishaingia mdudu tena.
Twende kwenye mada moja kwa moja.
Mwenye uzoefu na kilimo cha iliki naomba afanye kushea na sisi hapa jukwaani maana naona kina bei kubwa Sana kwa kilo sokoni Kati ya sh.15,000 hadi 20,000/kg.
Tuelezeni mchakato wa kilimo ulivyo,Hali ya hewa inayojitajika,utunzaji, changamoto nk.
Na kokoa zinalimwa huko Tuliani?Mie nimkazi waturiani morogoro zao la iriki linalimwa sana tu japo bei zake zinabadirika sana nahii nikutokana nabei zasoko ladunia, ila ulimaji wake niwakienyeji zinalimwa msituni huko milima yaunguu, kilo ya iriki iliokauka c mchezo kuipata mana inakua nyepesi sana hata ikiuzwa bei kubwa nihalali sio kama kokoa