Fursa ya Kilimo cha Iliki. Mbinu, changamoto na faida

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,035
6,907
Twende kwenye mada moja kwa moja.

Mwenye uzoefu na kilimo cha iliki naomba afanye kushea na sisi hapa jukwaani maana naona kina bei kubwa Sana kwa kilo sokoni Kati ya sh.15,000 hadi 20,000/kg.

Tuelezeni mchakato wa kilimo ulivyo,Hali ya hewa inayojitajika,utunzaji, changamoto nk.
 
Mimi nilimuuliza bibi yangu kuhusu kilimo cha iriki akaniambia kilimo chake kigumu sn na huwa zinajiptea tu kwenye vichaka inawezekana uelewa wake mdogo hila ana shamba la karafuu heka 7 amani tanga na miti ya mdarasini
Kumbe Tanga karafuu zinakubali
 
Mimi nilimuuliza bibi yangu kuhusu kilimo cha iriki akaniambia kilimo chake kigumu sn na huwa zinajiptea tu kwenye vichaka inawezekana uelewa wake mdogo hila ana shamba la karafuu heka 7 amani tanga na miti ya mdarasini
Nimekaa amani kule kwa mkoro sijui wanapaita, kuna ndola emu nitajie maeneo ya fasta fasta kaka.

Kilimo hicho kule kinakubali, inshort kwenu kuna kila aina ya fursa.
 
hiliki ni zao ambalo linalimwa sana mkoani Tanga,morogoro na mbeya kwa kiasi flani,sina uzoefu mkubwa kwenye kulima ila mimi uwa najishughulisha na kununua kutoka maeneo hayo na zaidi mkoani Tanga na kuleta Dar
 
Ukiweza kulima iliki utakuwa Tajiri..
Naona watu wanaolima kama hawataki wengine wajue..
Iliki
Tangawizi
Vitunguu saumu
Abdalahsini
tatizo si kulima tu kwani mbona ni zao linalolimwa muda mrefu na tatizo ninaloliona mimi ni uelewa au urasimu ama ubinafsi kwani hiyo hiliki kwa wakati huu tu kilo kwa bei ya jumla haipungui 13,000 na uwa inapanda hadi 35,000 kuna wakati,elimu kwa walimaji ni changamoto kubwa na km wangekuwa na uthubutu japo kidogo tu leo hii wangekuwa kama watu wa iringa na utajiri wa miti ya mbao
 
Ndio tunawaomba watoke watupe maujuzi
 
Twende kwenye mada moja kwa moja.

Mwenye uzoefu na kilimo cha iliki naomba afanye kushea na sisi hapa jukwaani maana naona kina bei kubwa Sana kwa kilo sokoni Kati ya sh.15,000 hadi 20,000/kg.

Tuelezeni mchakato wa kilimo ulivyo,Hali ya hewa inayojitajika,utunzaji, changamoto nk.
Kama unamteja nina kilo 600 as we speak anza research yako kwa mzigo wangu shekh!

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Zinauzwa Bei hio for a Reason....

Kuanza kuzaa miaka 2 - 3
Yield 450 - 500kg
Pia hio kilo sokoni 15 mpaka 20 kumbuka ni sokoni sio Shambani hivyo pigia hesabu ya shambani

Biashara / Kilimo chochote cha viungo kinalipa ila kufanya upembuzi yakinifu usiangalie bei za sokoni (retail);

Sio Kwamba mimi ni Mkulima (Am just a guy who likes to know stuff)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom