Fursa ya Kilimo cha Iliki. Mbinu, changamoto na faida

May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
4,674
2,000
Nadhani moja ya changamoto za hili zao ni muda wa tangu kupanda hadi kuvuna....ukifananisha na Mahindi au Maharage.

Ila ukiweza kupata wastani wa kilo 200 kwa mwaka ni dili tosha ukilinganisha na kila 500 za mahindi.
 
COMOTANG

JF-Expert Member
Jan 6, 2021
1,735
2,000
Ukiweza kulima iliki utakuwa Tajiri..
Naona watu wanaolima kama hawataki wengine wajue..
Iliki
Tangawizi
Vitunguu saumu
Abdalahsini
Hayo mazao Ni adhimu tatizo Ni wapi utapata Miche ya mimea hiyoNani mtaalam was kukuelekeza A-Z YLya mazao hayo kwa maana :
UPATIKANAJI WA MICHE
UPANDIKIZAJI
UTUNZAJI
UVUNAJI NA
MASOKO
 
Memento

JF-Expert Member
Jun 13, 2021
1,096
2,000
Nikajua basi ni mtu wa maana sana CCM, kumbe hohehahe. Unaona sasa unauliza kilimo Cha iriki humu, wenzio wanatumbua tu.
Nakusindikiza na tusi, ku.........nina zako
 
msomali90

JF-Expert Member
Jun 10, 2016
737
1,000
Hayo mazao Ni adhimu tatizo Ni wapi utapata Miche ya mimea hiyoNani mtaalam was kukuelekeza A-Z YLya mazao hayo kwa maana :
UPATIKANAJI WA MICHE
UPANDIKIZAJI
UTUNZAJI
UVUNAJI NA
MASOKO
Mie nimkazi waturiani morogoro zao la iriki linalimwa sana tu japo bei zake zinabadirika sana nahii nikutokana nabei zasoko ladunia, ila ulimaji wake niwakienyeji zinalimwa msituni huko milima yaunguu, kilo ya iriki iliokauka c mchezo kuipata mana inakua nyepesi sana hata ikiuzwa bei kubwa nihalali sio kama kokoa
 
MLUGURU

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
2,242
2,000
Mie nimkazi waturiani morogoro zao la iriki linalimwa sana tu japo bei zake zinabadirika sana nahii nikutokana nabei zasoko ladunia, ila ulimaji wake niwakienyeji zinalimwa msituni huko milima yaunguu, kilo ya iriki iliokauka c mchezo kuipata mana inakua nyepesi sana hata ikiuzwa bei kubwa nihalali sio kama kokoa
Mkuu vipi bado magimbi yanalimwa huko milima ya nguu mndela
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom