Fursa ya kibiashara kwa zao la muhogo kati ya Tanzania na China

Ndakie

Member
Aug 8, 2016
10
4
Habari.
Mwaka jana tuliingia mkataba wa kibiashara na nchi ya china, kuuza muhogo katika soko la china. Naomba mwenye kujua zaidi ni namna gani tunalifikia soko hilo au je kuna wakala hapa Tanzania maana hii ni fursa nzuri kwetu vijana na taifa kwa ujumla.
 
Na Mimi naweka mkazo ,,kwenye kujua namna ya kulifikia solo hilo
Ndg yangu napenda kukujuza kuwa nimefanya kila namna mpaka kwenda TIC, nimepewa mawasiliano ya awa jamaa ambao ni country representer wa kampuni ya mihogo ya canton investment. Nimeongea nao canton wanasema bado hawajaanza kununua muhogo na wakianza inabidi tuchakate mwenyewe kwanza then ndio tuwauzie na wameaidi watatoa elimu ya namna ya kuchakata hapo baadaye.
 
Habari.
Mwaka jana tuliingia mkataba wa kibiashara na nchi ya china, kuuza muhogo katika soko la china. Naomba mwenye kujua zaidi ni namna gani tunalifikia soko hilo au je kuna wakala hapa Tanzania maana hii ni fursa nzuri kwetu vijana na taifa kwa ujumla.
Hili ambao wanapata matunda ya kilimo hiki ni wa2 wa Tanga maana mh Godwin aliweza kuratibu na kuhamasisha wakulima ,lakini mikoa mingine kama ukanda huu wa Pwani viongoz hawaon fursa hii kwa faida ya wa2 wao na ukifanya peke yako huwez hudumia soko la China lazima muwe wakulma wengi
 
Back
Top Bottom