Fursa ya biashara ndani ya visiwa vya Comoro

Vyote ivyo
Duh fursa hii jamani huku nilipo viazi vitamu vingi sana gunia halizidi elfu 15, ila sasa sisi wengine niwageni kwenye biashara zakutoka njee, kwamfano me Sina kitambulisho paspot wala kitambulisho chataifa naanzia wapi hapo mkuu ili niweze kufanikisha kwaharaka
 
Duh fursa hii jamani huku nilipo viazi vitamu vingi sana gunia halizidi elfu 15, ila sasa sisi wengine niwageni kwenye biashara zakutoka njee, kwamfano me Sina kitambulisho paspot wala kitambulisho chataifa naanzia wapi hapo mkuu ili niweze kufanikisha kwaharaka
 
watanzania niwavivu wakusoma sana wanaukiza maswali yaliyojibiwa kwenye comment nyingine watu wadizain hii wanatujazia mikoment maarifa yapo kwenye kusoma pole mtoaji wa mada maana umechukua muda mwingi kujibu maswali yakufanana chaajabu watu hawaji na njia zakutatua changamoto badala yake kila mtu anataka kujibiwa anavyotaka yeye.
Mimi ni mfanyabiashara Tanzania na Comoro. Nilianza mwaka jana lakini mafaniko ni makubwa kwan kuna fursa nyingi sana sababu visiwa vya Comoro 96% wanategemea vitu pamoja na chakula kutoka nje..
Hivyo hupelekea kuwa na mahitaji kubwa ya hasa vyakula lakini changamoto hasa inayopelekea biashara ya Comoro kusua sua ni usafirishaji lakini fursa ni nyingi sana pia changamoto nyingne ni mmoja hasa kwa Watanzania hamna umoja kabisa wa kibiashara kwan hata kwenye upende wa usafirishaji Wacomoro ndio wanakodi meli tena hapa Tanzania na kijipatia pesa nzuri sana
Wakati tunauwezo wa kujikusanya wafanya biashara na kukodi chombo tutafanya supply kwa wakati sababu kuna kipindi Comoro nzima haina kitunguu ama vinywaj kama juice sababu tu hamna meli za kwenda...lakini fursa ni nying sana
 
mkuu unaulizia meli mpaka comoro ..gharama za kukodi au gharama za kupakia mzigo?

gharama za kukodi meli inategemea na ukubwa wa meli kuanzia meli ya tan 150 mpaka tan 1000 ila mara nying meli zinazoenda ni mdogo yan tan 400 -650 na gharama yake ni kuanzia euro 20,000 /=- euro 70,000/=

Sent using Jamii Forums mobile app
Na gharama za kusafirisha kawaida zikoje mkuu
 
Mkuu natumai unaendelea vema kama umejikita ki biàshara huko tupe mrejesho tuchangamkie fursa
Asante
nina mwaka sasa mkuu tang nianze safar za uko ..pia nitakuwa wa kwanza kushare fursa na wenzang mana watz wanaofanya biashara comor o hawatoi ushirikiano ...mm kinachoniuma ni kuona mcomoro anakuja kununua apple tz wakat kuna kijana wa tz anaweza kupeleka comoro wakazinunulia uko nas tukafaidika mara 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

46 Reactions
Reply
Back
Top Bottom