Fursa ya biashara ndani ya visiwa vya Comoro

Unapotaka kufanya biashara na Comoro ni muhimu ukayajua haya

1. Idadi ya watu kule ni takriban laki 8. Hivyo unapoangalia business volume uwe muangalifu, nimeona kwenye post no 71 kuna mtu anataka peleka tani 5 za matunda, Zinaweza zikawa nyingi sana au kidogo

2. Kuna baadhi ya bidhaa wanaoruhusiwa ku import kule ni wenyewe tu, hivyo ili uweze kufanya hiyo biashara lazima ujiunge nao. Katika kujiunga nao usibweteke kuwaamini, kuna mtu aliulizia mambo ya Culture tukambeza humu lakini ni muhimu saana, hawa jamaa kimuonekano ni kama Wazanzibar lakini linapokuja swala la mahusiano ya kifedha wengi wao si waaminifu. Be extra careful

3. Sehemu ya karibu ukitokea Tz kwenda Comoro kwa maji ni Lindi ambapo ni Km takriban 320 mpaka 350
Mpaka mwaka juzi kulikuwa na Meli inafanya trip mara 2 kwa wiki kwenda na kurudi Comoro ikitokea Lindi lakini inaonekana hiyo trip imekufa na ni lazima kutakuwa na changamoto

4. Competitive advantage ambayo tunayo na Comoro ni hiyo ya distance kutoka Lindi kuelekea huko ukilinganisha na Suppliers wengine kama Brazil, China, South Africa, UAE na France

Competitive advantage nyingine ni hiyo ya COMESA na muingiliano wa kiutamaduni na kihistoria

5. Competitive Disadvantage: Our poor brains and Attitudes towards Business

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mbao inategemea umejipanga kufanya ipi..,kuna kutoa shambani (mfano vijiji vya Makete,Lupembe na kupeleka soko la kawaida kama Njombe mjini au Makambako Mtaji wa kuanzia na mil 5 unatosha tu..,Kuna ile ya kutoa Makambako,Njombe au Mafinga na kupeleka masoko makubwa kama Dar,Arusha au Mwanza mtaji wake usipungue mil 20
Kwa mtaji huo mkubwa naweza tengeneza faida kama ngapi ivii kwa wastani
 
yes na hapo ndipo panapotakiwa kama wafanyabiashara na watanzania kuangalia namna ya kutatua changamoto za usafri na kutufanya kuwa big supplier ..couse mtu mmoja huwez kukod meli .ukiwa na meli yako unauwezo wa kusuppy chakula comoro mara 2 kwa mwez lakn sasa ivi inaweza fika hata miez 2 hamna meli .mm mzigo Wang upo bandalin tang tar 5 mwez 2 mpaka Leo hamana meli ..ndo ilo sasa inapakia ni changamoto ..lakn ikatokea wafanyabjashar tunaamua kwa umoja wetu tunakodi meli ndan ya mwaka 1 tutawazid China. Dubai

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!!!, kwa perishable crops hapo ni Shida sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANGAZO :. WALE WOOTE WALIOITAJI KUFANYA BIASHARA COMORO NA TULIOZUNGUMZA NILIPOTEZA SM SASA NAPATIKANA KWA WHATSAPP NO.269- 374 7043 NB: POLEN KWA USUMBUFU
Mkuu Air Tanzania inaenda mara ngapi kwa wiki uko Comoros return tiketi yao ni shillingapi wastani ila samahani sana
 
Mimi ni mfanyabiashara Tanzania na Comoro. Nilianza mwaka jana lakini mafaniko ni makubwa kwan kuna fursa nyingi sana sababu visiwa vya Comoro 96% wanategemea vitu pamoja na chakula kutoka nje..

Hivyo hupelekea kuwa na mahitaji kubwa ya hasa vyakula lakini changamoto hasa inayopelekea biashara ya Comoro kusua sua ni usafirishaji lakini fursa ni nyingi sana pia changamoto nyingne ni mmoja hasa kwa Watanzania hamna umoja kabisa wa kibiashara kwan hata kwenye upende wa usafirishaji Wacomoro ndio wanakodi meli tena hapa Tanzania na kijipatia pesa nzuri sana

Wakati tunauwezo wa kujikusanya wafanya biashara na kukodi chombo tutafanya supply kwa wakati sababu kuna kipindi Comoro nzima haina kitunguu ama vinywaj kama juice sababu tu hamna meli za kwenda...lakini fursa ni nying sana
TANGAZO:. WALE WOOTE WALIOONGEA KUHUSU BIASHARA COMORO NA WALIOTAJI KWENDA SAS NAPATIKANA KWA NO 269-3747043 WHATSAPP : NB POLEN NILIPOTEZA CM tafadhal tuliizungumza nitafuten
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom