Fursa ya biashara ndani ya visiwa vya Comoro

zerish89

Senior Member
Feb 28, 2019
110
319
Mimi ni mfanyabiashara Tanzania na Comoro. Nilianza mwaka jana lakini mafaniko ni makubwa kwan kuna fursa nyingi sana sababu visiwa vya Comoro 96% wanategemea vitu pamoja na chakula kutoka nje.

Hivyo hupelekea kuwa na mahitaji kubwa ya hasa vyakula lakini changamoto hasa inayopelekea biashara ya Comoro kusua sua ni usafirishaji lakini fursa ni nyingi sana pia changamoto nyingne ni mmoja hasa kwa Watanzania hamna umoja kabisa wa kibiashara kwan hata kwenye upende wa usafirishaji Wacomoro ndio wanakodi meli tena hapa Tanzania na kijipatia pesa nzuri sana

Wakati tunauwezo wa kujikusanya wafanya biashara na kukodi chombo tutafanya supply kwa wakati sababu kuna kipindi Comoro nzima haina kitunguu ama vinywaj kama juice sababu tu hamna meli za kwenda lakini fursa ni nyingi sana

Herr muller
 
Kwanza kabisa tukija kwenye upende wa pesa yao : comoro wanatumia Euro na comoro France (kmf) .pesa Yao ni mara 5 ya pesa yetu yan kmf 1 = Tsh 5 ..na kwa upende wa euro pia wametuzi kwao Euro 1= KMF 500 wakat kwetu Euro 1= Tsh 2,600/= iyo hupelekea biashara kuwa na faida kubwa ...turud kwenye bidhaa zinazoitajima sana ni:

Mboga mboga kama vitunguu,hoho,carrot,cabbage
Nyama ya ng'ombe/mbuzi
Ng'ombe / wazima
Juice hasa za Azam
maji
magimbi
magodolo
fenichers
nguo but hasa nguo za. ndan
matunda
tissue na vitu ving tuu ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la watanzania wengi wanaofanya biashara Comoro ni wabinafsi sana na wachoyo,nina washkaji kama 5 hivi ila wote ukiwaambia wakupe ramani za huko wanakwepa kwepa tu....
Kama una hela nenda kule kwa wiki moja au mbili ufanye uchunguzi wako, bidhaa zinazohitajika, wateja wako, bei, gharama za kusafirisha.

Ukirudi elimisha watu unaowaamini umoja ni nguvu.
 
Tatizo la watanzania wengi wanaofanya biashara Comoro ni wabinafsi sana na wachoyo,nina washkaji kama 5 hivi ila wote ukiwaambia wakupe ramani za huko wanakwepa kwepa tu....
ilo ndio tatizo kubwa sana ..linatufanya weng tunadumaa sababu waliotoka hawasem ya uko matokeo take wacomoro wenye ndio huja uku wanatupiga bao na kupata faida zaid sababu wananunua bei ya chin uku wanapeleka kwao bei juu KIHUARISIA: tunailisha sana comoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mwenyeji huko?
Au Ushawahi Kufika huko mkuu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
nina mwaka sasa mkuu tang nianze safar za uko ..pia nitakuwa wa kwanza kushare fursa na wenzang mana watz wanaofanya biashara comor o hawatoi ushirikiano ...mm kinachoniuma ni kuona mcomoro anakuja kununua apple tz wakat kuna kijana wa tz anaweza kupeleka comoro wakazinunulia uko nas tukafaidika mara 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom