Fursa: Wataalamu wa kutengeneza viatu vya ngozi wanahitajika

FAJES

JF-Expert Member
Oct 29, 2017
714
628
Fursa: Wataalamu wawili (2) wa kutengeneza Viatu vya ngozi wanahitajika

Mahali: Dar es Salaam

SIFA: Mbunifu na mwenye uzoefu mzuri (Hakutakuwa na muda wa mafunzo, ni kazi moja kwa moja).
Mafunzo ya VETA ni sifa ya zida zaidi.
Kijana Mchapakazi, mwenye kujituma, Mwaminifu na Mwenye maadili mazuri.
Mwenye uwezo wa kumudu process zote kuanzia mwanzo hadi kukamilisha kiatu.
Uwezo wa kutengeneza mikoba, wallets na mikanda ya ngozi ni sifa ya ziada.

MALIPO: Ni mazuri na kutakuwa na commission kwa kila baada ya kufikia target iliyopangwa.

Mwisho wa kutuma maombi/ kuonesha nia ni tarehe 30/11/2017. Baada ya maombi kutakuwa na Practical interview (majaribio kwa vitendo) na baada ya hapo kazi itaanza mara moja.

Mwenye CV anaruhusiwa kutuma CV yake kuanzia sasa.

Mawasiliano: fajestz@gmail.com
+255 624 060 662.
 
Naam, mlango wa Fursa upo wazi. Karibuni sana..
 
Back
Top Bottom