Fursa sandals za ngozi au za kimasai

Habari wakuu, Mimi ni kijana mjasiriamali natengeneza viatu vYa kimasai vYa kiume na vYa kike vYa shanga na visivyo na shanga , uzalishaji kwangu ni PC 200 hadi 300 kwa siku hivyo ninahitaji wanunuzi wa jumla kutoka ndani na nje ya nchi maana uzalishaji wangu ni mkubwa na naweza pia kuzalisha zaidi ya hapo kulingana na mahitaji, ninapatikana dar es salaam
Nitumie namba yako
 
Back
Top Bottom