Nimebakhtisha compressor,machine za kuchomelea (Gas/Umeme) na za rangi.
Pia spanner za ku unga unga nimeokoteza.Pia kuna mbao za kutengeneza bench.
Kijiwe tufungue pande zipi?
Karibuni wadahu.
We upo wapi,nikikwambia tufungue jehanam utakubali?
Mkuu hapa Tanzania kuna mahala panaitwa Gomz?? Nijuze tafadhali.pnde za Gomz
Mkuu hapa Tanzania kuna mahala panaitwa Gomz?? Nijuze tafadhali.
Gomz ni GongolaMboto,TMK ni Temeke,Uk ni Ukonga,Tbt ni Tabata,Mbags ni Mbagala nk
Gongolamboto
Nimebakhtisha compressor,machine za kuchomelea (Gas/Umeme) na za rangi. Pia spanner za ku unga unga nimeokoteza.Pia kuna mbao za kutengeneza bench.
Kijiwe tufungue pande zipi?
Karibuni wadahu.