SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 5,106
- 7,858
Wadau, nina ombi maalumu linalohitaji msaada wa haraka. Kuna drone ni kama mpya kwa sababu haijawahi kufanya kazi sawasawa toka inunuliwe, nikaamua kuiweka pembeni kwa muda nitulize akili.
Nahitaji mjuzi na mtaalamu atakayeweza kuicheki na kama ni upungufu wa uwezo wangu wa kuitumia basi anionyeshe.
Drone yenyewe ni DJI Phantom 2 (nadhani). Moja ya matoleo ya mwanzo.
Natanguliza shukrani.