Fursa /msaada -Morogoro

Kama upo seriously iyo fursa lazima unishirikishe kisha tunafanya pamoja na faida tuna gawana sawa 50/50 ...vinginevyo nenda Bayport ndani ya saa 24 utakuwa umesaidika pia kohonda kuna microfinance kibao kama unakizi vigezo watembelee
 
Hao bayport masaa 24? Itakuwa late sana. Kihonda kuna microfinance zipi?
 
Habari za jioni wana Jamii? Ni matumaini yangu kwamba hamjambo na mnaendelea vema na ujenzi wa Taifa hili.

Naingia kwenye mada;

Kama upo morogoro mjini hii ni fursa kwako, nahitaji pesa kiasi cha milioni sita (au pungufu lakini si chini ya 5M) kufikia kesho (10. 09. 2019) saa tisa.

Nitakurudishia ndani ya siku kumi na faida ya milioni mbili juu yake. Sio utani ni issue serious.

Nipigie kwa namba; 0683 370 342

NB: Nimesema Morogoro kwa sababu ndipo nilipo. Ukipiga hakikisha unaweza kusaidia. Nasisitiza tena kuwa ni serious issue, karibu.
Natanguliza shukrani zangu.
Kuna mtu atatapeliwa hapa
 
Iyo sio fursa bali ni upigaji yani kiwanja ndio unawambia watu bond acha masihala na pesa saiv ni ngumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom