Fursa kwa wamiliki wa stationary, shule, wanafunzi, waalimu na wadau wa elimu

Pre-form five na vijana wengine kuanzia primary hadi kidato cha sita, karibu tukupe material yenye ubora wa hali ya juu.

Pia wewe mwenye uhitaji wa tuition ya physics, chemistry, na mathematics kuanzia form one hadi form six, karibu huduma ipo na wapo waalimu wazuri.
 
Tunakuletea huduma ya masomo ya ziada popote ulipo ndani ya Dar es salaam kwa gharama nafuu kabisa.

Masomo utakayofundishwa ni

1. Chemistry.
2. Physics.
3. Mathematics.


Pia tunatoa MAFUNZO YA COMPUTER kwa watu wa rika zote.

Kwa wewe ambaye ungependa kufundishiwa nyumbani popote ulipo ndani ya Dar es salaam pia inawezekana kukufuata.

Madarasa tunayofundisha ni

Form one.
Form two
Form three.
Form four.
Form five.
Form six.
QT.

Tunapatikana Mbagala kwa Aziz.

Kwa mawasiliano zaidi 0752026992.
 
SWALI KWA MZAZI!

Mzazi, mwanao karudi shule au ndiyo anaingia shule, hivi hushawahi jiuliza kama ana vitabu na material ya kutosha ambayo yatamsaidia kuongeza ufaulu wake Darasani???


Changamoto ya uapatikanaji wa study materials za wanafunzi katika ngazi mbalimbali za Elimu ni changamoto na ni vema mzazi kumsaidia mwanao ili aweze kupata study materials zitakazo msaidia katika kuongeza ufaulu katika masomo yake.


Njoo tukupe study materials zenye ubora na zitakazo mfaa mwanao
+255752026992

Wazazi wote naamini mnaweza.



Sent from my E2333 using JamiiForums mobile app
 
Comprehensive physics form three.

Physics for secondary school


Available softcopy, contact 0752026992
FO3.jpg


Sent from my E2333 using JamiiForums mobile app
 
MZAZI: mwanao hawezi faulu vema bila kuwa na material mazuri yatakayo msaidia katika kujisomea na kuongeza uwezo wake Darasani.

MWANAFUNZI: Ili ufaulu unahitaji kuwa na vitabu, notes na material mengine mazuri yatakayo kusaidia na kukurahisishia usomaji wako ili kufaulu vema Darasani.

MWALIMU: Usitegemee kufaulisha vema wanafunzi wako kama huna vitendea kazi bora vitakavyokusaidia katika ufundishaji wako, notes, vitabu na aina nyingine pia.


_*Makundi yote hayo mnajiuliza wapi tutapata hayo material bora??*_

Usisumbuke, we bonyeza link hiyo kisha ingia chagua kitakacho kufaa ili kuimarisha ufaulu wa mwanao/wako/wanafunzi wako.

Kwa maelekezo zaidi tuwasiliane 0752026992


Mr Purpose · Katalogi WhatsAppissa
 
Mr Purpose · Katalogi WhatsAppissa

*MUHIMU KWA WANAFUNZI, WAALIMU NA WAZAZI.*

*Notes zote masomo yote vidato vyote, *bonyeza link.**

*Revision za maswali na majibu, bonyeza link.*

*Pastpapers na marking Scheme zake, bonyeza link*

*Practical zote O-level na A-level, bonyeza link.*

*Vitabu vya shule ya msingi na secondary masomo yote, bonyeza link tafadhali.*

*Pastpapers za aina zote (midterm, terminal, mock, necta, pre necta, pre mock, joint exams), bonyeza link*

*Schemes of work masomo yote, bonyeza link*

*Syllabus na format za mtihani mpya, tafadhali bonyeza link.*

*_Bonyeza link_*

_*Kwa mawasiliano zaidi 0752026992*_

Pia tunatoa huduma zifuatazo popote ulipo Tanzania.

1. Ajira Portal

2. Usajili wa biashara/kampuni (BRELA)

3. Kupata visa.

4. Kupata Passport online.

5. Police loss report.

6. Application za mikopo (HESLB).

7. Application za vyuo (NACTE, TCU).

8. Uhakiki wa vyeti RITA

Huduma zote hizo tunakukamilishia popote ulipo Tanzania na nje ya Tanzania.

_*Kwa mawasiliano zaidi 0752026992*_

Sent from my E2333 using JamiiForums mobile app
 
Mitihani ya mock, pre mock, terminal, pre necta 2020 ipo tayari na marking scheme zake.

Tuwasiliane kukutumia softcopy kupitia whatsapp au email popote ulipo 0752026992 whatsapp

Sent from my E2333 using JamiiForums mobile app
 
MALIZA MWAKA KWA KUPATA VITU VIPYA.

Ni baada ya kukamilisha hatua ya kwanza ya kutengeneza study materials mpya kabisa kwa kufuata mtaala mpya kwa kila level.

ZINGATIA: Hizi zipo tofauti na zimeandaliwa kwa utaratibu wa kueleweka bila tatizo.


Notes masomo yote form one hadi form six softcopy (word format, Pdf format na Power point zinapatikana zote)

Notes za Primary (English medium na swahili medium) softcopy

Vitabu vya Oxford, O level softcopy.

Vitabu vya ujasiriamali, biashara na kujitambua.

Revision za maswali na majibu form one hadi form six masomo mbalimbali.

Vitini kama vile vya NGAIZA, ISSUE BOY na aina nyingine.

Practical solved maswali na majibu o level na A level.

Maazimio, primary na secondary pia.

Vitabu na mitihani na majibu yake.

Zipo nyingi sana, pitia link hapa ujionee mwenyewe na uchague unachokitaka

 
Kwa uhitaji wa notes nzuri syllabus mpya 2021

1. Notes za primary (English medium na Swahili medium)

2. Notes za o level (form one mpaka 4 masomo yote)

3. Notes za A level (form five na six masomo yote).

4. Uchambuzi wa vitabu vya fasihi (Kiingereza na kiswahili pia).

Karibu inbox au tunaweza wasiliana kwa namba 0687934511.
 
Notes zilizo andaliwa kwa kufuata mtaala mpya 2021.

1. Notes za primary.

2. Notes za form one hadi four

3. Notes za form five na six pia.

4. Practical za o level na A level pia.

Karibu tuwasiliane 0687934511
 
*Physics form five na six 7000
*Mathematics pia 7000
*Chemistry pia 7000
*Biology nayo pia 7000
*Geography pia 7000

Ntakufanyia 30,000 kwa zote. Tuwasiliane PM mkuu
 
Notes za primary, secondary form one had six, syllabuses, revision maswali na majibu, practical solved o level na a level.

Zote zipo soft copy na utatumiwa kwa WhatsApp au email.

Mawasiliano 0687934511
 
1. NOTES ZA PRIMARY ENGLISH MEDIUM NA SWAHILI MEDIUM.

2. NOTES ZA FORM ONE HADI FOUR.

3. NOTES ZA FORM FIVE NA SIX.

Masomo yote.

Karibu inbox au tuwasiliane 0687934511
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom