Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,858
- 7,846
Changamkieni Fursa hiyo wahitaji
Ushamba mzigo mkuu..Du ulimbukeni mbaya sasa maviingeraza ya nini hayo? Dadavua kwa kiswahili wengi na walengwa waelewe Mwijage bana
Seriously? Umetuma lini na wamekujibu lini ?Jamani kiukweli mimi nilimtumia email muheshimiwa nanimejibiwa kuwa nimechaguliwa kujipatia hiyo pikipiki naamenitumia email yamtu mwingine ili anijulishe jinsi yakuipata pikipiki
Nilituma February 23 nimejibiwa leo hii, ndio bado nasikilizia kama nikweli ama siunajua tena watu wakudukua akaunt zawaheshimiwaSeriously? Umetuma lini na wamekujibu lini ?
OK ngoja namimi nijaribu. Dah! Ikiwa kweli itapendeza sana usawa huu wa vyuma. Sema nitumie sample basi umeandikaje... Shikamoo zimo hazimo ?Nilituma February 23 nimejibiwa leo hii, ndio bado nasikilizia kama nikweli ama siunajua tena watu wakudukua akaunt zawaheshimiwa
Shikamoo hazimo mkuu wewe jieleze tu kwanini unahitaji hiyo pikipiki naitakunufaishaje kujikwamua kiuchumiOK ngoja namimi nijaribu. Dah! Ikiwa kweli itapendeza sana usawa huu wa vyuma. Sema nitumie sample basi umeandikaje... Shikamoo zimo hazimo ?
Shikamoo hazimo mkuu wewe jieleze tu kwanini unahitaji hiyo pikipiki naitakunufaishaje kujikwamua kiuchumi
NB: mimi bado sijaipokea hiyo pikipiki mikononi mwangu ila nimejibiwa kuwa nimekubaliwa kupata hiyo pikpk kwahiyo nachosubilia nikujibiwa nahuyo ambaye anasimamia hilo zoezi