Fursa kwa Wafanyabiashara ya kujipatia pikipiki kutoka kwa Waziri wa Uwekezaji

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
2,855
7,843
Changamkieni Fursa hiyo wahitaji
IMG-20180222-WA0010.jpg
 
Wameshindwa kujenga viwanda vitakavotengeneza ajira kwa mamilioni ya watu walioko mtaani wakiteseka eti wanaleta Bodaboda ndio zisaidie kuondoa umasikini Shame!
 
Du ulimbukeni mbaya sasa maviingeraza ya nini hayo? Dadavua kwa kiswahili wengi na walengwa waelewe Mwijage bana
 
Jamani kiukweli mimi nilimtumia email muheshimiwa nanimejibiwa kuwa nimechaguliwa kujipatia hiyo pikipiki naamenitumia email yamtu mwingine ili anijulishe jinsi yakuipata pikipiki
 
Jamani kiukweli mimi nilimtumia email muheshimiwa nanimejibiwa kuwa nimechaguliwa kujipatia hiyo pikipiki naamenitumia email yamtu mwingine ili anijulishe jinsi yakuipata pikipiki
Seriously? Umetuma lini na wamekujibu lini ?
 
Nilituma February 23 nimejibiwa leo hii, ndio bado nasikilizia kama nikweli ama siunajua tena watu wakudukua akaunt zawaheshimiwa
OK ngoja namimi nijaribu. Dah! Ikiwa kweli itapendeza sana usawa huu wa vyuma. Sema nitumie sample basi umeandikaje... Shikamoo zimo hazimo ?
 
OK ngoja namimi nijaribu. Dah! Ikiwa kweli itapendeza sana usawa huu wa vyuma. Sema nitumie sample basi umeandikaje... Shikamoo zimo hazimo ?
Shikamoo hazimo mkuu wewe jieleze tu kwanini unahitaji hiyo pikipiki naitakunufaishaje kujikwamua kiuchumi
NB: mimi bado sijaipokea hiyo pikipiki mikononi mwangu ila nimejibiwa kuwa nimekubaliwa kupata hiyo pikpk kwahiyo nachosubilia nikujibiwa nahuyo ambaye anasimamia hilo zoezi
 
Uliandika kwenye word Maelezo na ombi then ukatuma kwa hiyo email au uliandika Maelezo mafupi moja kwa moja kwenye hiyo email?
 
Back
Top Bottom