Fursa kwa Wafanyabiashara wa mbao - Tanzania Wood Industry Business Challenge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fursa kwa Wafanyabiashara wa mbao - Tanzania Wood Industry Business Challenge

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by LAT, Feb 14, 2011.

 1. L

  LAT JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Wana JF ambao wapo katika sector hii ya mbao , magogo, nguzo za miti, bidhaa za mbao kama furniture na vyote vinavyoendena na bidhaa misitu

  Hii ni fursa itakayoshindanisha michanganuo ya biashara (Business Plan Competition) na baadae fursa mbali mbali zitapatikana kama vile finance for business.., investor match making .., training, market potential (upataikanaji wa masoko)..., mashamba ya uzalishaji wa mbao na kadhalika

  Wadau changamkia hii ikiandaliwa na kufadhiliwa na BiD Network foundation ya Netherland wakishirikiana na University of Dar Es salaam Entrepreneurship Center (UDEC) na SHIVIMITA

  Details please follow link

  Tanzania Wood Industry Business Challenge | Africa Report
   
Loading...