Fursa kwa wadukuzi, Telegram inatoa zawadi ya takribani Tsh milioni 700

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
2,943
2,000
Mtandao wa kijamii wa telegram unaopendekezwa kutumika zaidi duniani kutokana na usalama wa mawasiliano yao unatoa $300,000 sawa na Tsh 695,643,093.

Hela hiyo itatolewa kwa mdukuzi yoyote atakeyeweza kuingilia mawasiliano ya watu wawili na kuelewa ujumbe unaotumwa baina yao, kitu ambacho kimeonekana kuwa rahisi kwa mtandao wa whatsapp.

Kwa jina zuri la tukio hilo ni mtu atakayeweza ku-‘listen’ mawasiliano ya watu wawili kisha akazidaka zile ‘hashes’ zinazotumwa, na aweze kuelewa zile ‘hashes’ kwa maneno ya kawaida.

Kutokana na watu kuingilia mawasiliano, mitandao mingi ya kijamii iliunda ‘end to end encryption’ ili mtu akifanikiwa kuingilia asiweze kuelewa kilichotumwa kwenye mawasiliano.

===

What if my hacker friend says they could decipher Telegram messages?

Anyone who claims that Telegram messages can be deciphered is welcome to prove that claim in our competition and win $300,000. You can check out the Cracking Contest Description to learn more.

Any comments on Telegram's security are welcome at security@telegram.org. All submissions which result in a change of code or configuration are eligible for bounties, ranging from $100 to $100,000 or more, depending on the severity of the issue. Please note that we can not offer bounties for issues that are disclosed to the public before they are fixed.

Ingia hapa


kali linux
 

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
5,243
2,000
Elimu zote zinazotolewa chini ya JUA ni Fani ya IT tu kitengo cha security mtu ukiiiva ukaivika kweli.

Unaweza mlazimisha muajiri akuajiri apende asipende na akakuajiri, ila elimu zingine zote chini ya jua.

Ni Mungu tu awe upande wako ndio unaweza pata ajira. Sijawahi ona Hacker maskini chini ya JUA.
 

kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
851
1,000
Ushawahi kuvunja hashes zozote hadi sasa
Personally sijawahi, lakini tunatumia tafiti za waliowahi then una-move forward.

Lakini kumbuka kwenye kufanya deciphering sio lazima nibreak keys zao. Kwenye END TO END ecryption hizo keys huwa zinatunzwa mahala. So nadhani ushaoma tayari kuna approaches nyingi coz kutokana na article wanataka tu kudecipher sms na sio kucrack END TO END encryption keys.

Kuna ule msemo wanasema unalinda mlango af unasahau madirisha.

Anyway Telegram sio simple kuihack japo ukiamua kuifanyia research it's an adventure worthy taking. Kwa kuwa wameruhusu sio mbaya tukajaribu.
 

lordchimkwese

JF-Expert Member
Nov 16, 2015
1,358
2,000
Tatizo la telegram kuukupa notification kuwa kuna namba ambayo ipo kwenye note book yako nayo imejiunga kwenye gropu iliyopo.
Sasa usiombe uwe umejiunga magroup ya UTAMU, anaweza akajiunga mtu unayemuheshimu utatamani ukimbie.
juzi kati ninekuta jamaa mmoja namuheshimu sana anagiza mzigo wakupiga kota kwny grupu moja hvi dah

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
2,943
2,000
Personally sijawahi lkn tunatumia tafiti za waliowahi then unamove forward.

Lakini kumbuka kwenye kufanya deciphering sio lazima nibreak keys zao. Kwenye END TO END ecryption hizo keys huwa zinatunzwa mahala. So nadhan ushaoma tyr kuna approaches nyingi coz kutokana na article wanataka tu kudecipher sms na sio kucrack END TO END encryption keys.

Kuna ule msemo wanasema unalinda mlango af unasahau madirisha.

Anyway telegram sio simple kuihack japo ukiamua kuifanyia research it's an adventure worthy taking. Kwa kuwa wameruhusu sio mbaya tukajaribu
Tangazo lao kimsingi ni wanataka u-crack hizo kitu zao. Hata hivyo kupata keys ni ngumu ni lazima u-crack. Anyway, Everything is hack-able, hao Telegram wasijione wababe kihivyo.
 

Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
1,798
2,000
Naona watu wanapiga porojo tu kua inawezekana! Haya deal hilo hapo mtuletee matokeo kwa vitendo na sio maneno tupu eti inawezekana!

Telegram sio Twitter!
 

Arien

JF-Expert Member
Aug 29, 2017
11,032
2,000
Tatizo la telegram.kukupa notification kuwa kuna namba ambayo ipo kwenye note book yako nayo imejiunga kwenye gropu iliyopo.
Sasa usiombe uwe umejiunga magroup ya UTAMU..anaweza akajiunga mtu unayemuheshimu.utatamani ukimbie.
😂😂Hakuna wa kumchongea mwenzie maana wote walewale🤣
 

Arien

JF-Expert Member
Aug 29, 2017
11,032
2,000
This is smart....free advertisement plus kuboresha system yao all in one 👏🏾
 

MAHENDEKA

JF-Expert Member
Jul 9, 2010
296
250
Hv quantum computing inasaidia kitu gani kama telegram wanaweza kusema hv?

niliwahi soma mahala kwamba google wamefika supremacy ya quantum computing ...mwamba wanaeza decrypt pki infrasturucture yeyote in less than two minutes, and can compute any complex maths considered impossible in normal computing

Hii imekaaje ,?
 

mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
26,872
2,000
Sitaki tenaaa.
Wa kwanza alikuwa ni mteja wangu notification ikaja kwamba na yeye amejiunga kwenye Hilo group namuheshimu nikajikaza kiume.hilo group nikaleft.
Ehee Mara group lingine akajiunga shangazi yangu.
Notification HYOOO.hapo hapo niliyafuta yoteee nikaona hapa ninapoelekea ni kukutana na baba kwenye haya magroup.
Hakuna wa kumchongea mwenzie maana wote walewale
 

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
5,984
2,000
Mimi sijawahi kunielewa telegram zamani niliilewa lakini Sasa naona mauza uza tu, Mara channels Mara links yaani siisomi
 

Arien

JF-Expert Member
Aug 29, 2017
11,032
2,000
Sitaki tenaaa.
Wa kwanza alikuwa ni mteja wangu notification ikaja kwamba na yeye amejiunga kwenye Hilo group namuheshimu nikajikaza kiume.hilo group nikaleft.
Ehee Mara group lingine akajiunga shangazi yangu.
Notification HYOOO.hapo hapo niliyafuta yoteee nikaona hapa ninapoelekea ni kukutana na baba kwenye haya magroup.
Maboko sana mkuu hakuna namna🤣
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom