Habar za Jumatatu
Kuna fursa kwa vijana wenye moyo wa utafutaji na weny uwezo wa kujituma.
Wanahitajika vijana kweny kampuni ya Zantel kwa ajili kufanya Mauzo

Sifa
Uwe na Smartphone inayofanya kazi vizuri
Uwezo wa kuongea na wateja na nguvu ya ushawishi

Vigezo
Barua ya uthibitisho kutoka serikali ya mtaa
Passport mbili zako
Kopi ya kitambulisho chako
Kopi ya kitambulisho mdhamini wa kwanza
Kopi ya kitambulisho mdhamini wa pili
Nb. Ambatanisha namba za simu za wadhamini kweny hizo kopi.

Usafiri upo wa kuanzia ofisini kupeleka vijana mauzo na kuwarudisha. Office zipo Dar es salaam, Mikocheni.
Karibuni wote tulijenge taifa.


Kwa maelezo zaidi tuwasiliane

0776938796
0656913696
"Passport mbili zako?!"
hebu rekebisha hapo kwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom