Fursa kwa timu ya Simba, course ya upigaji penalti yafunguliwa na Yanga

Salaaam Wana JF

Kutokana na kutokuridhishwa kwa kiwango cha wachezaji wa SIMBA kwenye Upigaji wa penalt au mipira iliyokufa
Timu ya WANANCHI kama mdau mikubwa wa maendeleo wa mpira kupitia kwa matajiri wa GSM imekuja na course fupi ya Upigaji wa penalt kwa wachezaji wa SIMBA ili kupunguza idadi ya watu wanao pata presha, especially. Mashabiki lia lia wa MAKOLO FC

USHAURI: Benchi la ufundi la Simba kupitia kwa kocha bora aliwahi kufundishwa real Madrid ya BUZA nawashauri wahudhurie course hiyo ili kupunguza kupiga viti kwa kocha wao

Pia kutakuwepo na mafundi kama, Ntibazonkiza, Yannick bangala na Dr. Aucho ili wawe roll model wao.

Msisahau course itakua bure kabisa coz wananchi fahari. Yao ni kuona Kuna ushindan kwenye ligue

Teacher wa course: Mukoko Tunombe from wananchi

View attachment 2090068
WAMEKIMBIA KIPINDI HAWA
 
Hilo darasa linawafaa sana watu kama Messi, cr7, Neymar, asamoah Gian, wenye kiwango cha chini kuliko wapiga penalty wa yanga
 
.... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!!
 
Penati za madoido ndio zinawafanya wachezaji kukosa goli zile za kujifanya unamdanganya golikipa.

Penati ya kufunga kwanza hakikisha unalilenga goli popote pale pembeni kidogo ya holikipa ukikwepesha sana unaweza kupaisha.

Pili kandamiza shuti kali ni goli tu.

Kwa mchezaji mwenye mazoezi hatua 12 ni umbali mfupi sana.

Angalia hata penati za Afcon wale waliopiga kwa madoido ya kumchenga kipa kalibu wote wameshindwa kufunga.
 
Back
Top Bottom