Fursa kwa mafundi rangi. Nunua rangi upate Maji ya kunywa bure

Hiyo Drewa 25Kg inatosha square meter ngapi? Na natakiwa niongezee materials gani zingine za kuchanganyia au ndoo yake ina kila kitu. Nataka nitumie kupiga ukuta mmoja una ufa nifunike makosa
 
Hiyo Drewa 25Kg inatosha square meter ngapi? Na natakiwa niongezee materials gani zingine za kuchanganyia au ndoo yake ina kila kitu. Nataka nitumie kupiga ukuta mmoja una ufa nifunike makosa
Square mita 7-8
Imeshachanganywa hauongezi kitu kingine

Karibu sana
 
emulsion white.jpeg
karibuni upate emulsion white unapiga single coat

rangi nzito
na inayodumu kwa muda mrefu
price ni 27000 20lt
price ni 17,000 10lt
price ni 9000 4lt

paint nzuri mno

call 0755155782
tunakusafirishia mpaka kwa transporter
 
drewa.jpeg

mineral stone (drewa)
rangi ya mchanga

ina warrant ya 10years
ipo kwenye ujazo wa 25kgs
price ni 95.000
 
silk white.jpeg

Silk white

rangi kwa ajili ya ndani

ni washable

inadumu muda mrefu

mpigo mmoja unatosha kabisa

inapatikana katika rangi la chaguo lako

bei ni 115,000 20lt
bei ni 60,000 10lt
bei ni 30,000 4lt
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom