Fursa kwa mafundi rangi. Nunua rangi upate Maji ya kunywa bure

HDMI

JF-Expert Member
Mar 10, 2018
554
1,000
Hiyo Drewa 25Kg inatosha square meter ngapi? Na natakiwa niongezee materials gani zingine za kuchanganyia au ndoo yake ina kila kitu. Nataka nitumie kupiga ukuta mmoja una ufa nifunike makosa
 
Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
20,845
2,000
Hiyo Drewa 25Kg inatosha square meter ngapi? Na natakiwa niongezee materials gani zingine za kuchanganyia au ndoo yake ina kila kitu. Nataka nitumie kupiga ukuta mmoja una ufa nifunike makosa
Square mita 7-8
Imeshachanganywa hauongezi kitu kingine

Karibu sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom