Fursa kubwa zinazopatikana Mkoa na Jiji la Dodoma kwa Ujamla (Ardhini ni mila)

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,182
1,490
Habari za majukumu...

Naitwa Mathias ni mwenyeji na Mkazi wa Jiji la Dodoma.
Mawasiliano: +255 (0) 752464548

Kama unavofahamu Mkoa na Jiji la Dodoma kwa Ujumla linakuwa kwa kasi sana kuna fursa nyingi za kuwekeza haswa kwenye Maswala ya Ardhi, zifuatazo ni fursa hizo...

1. Unaweza kununua Viwanja vya Makazi na Biashara kwa bei nzuri na rahisi,na ukapata full document maeneo karibu na Mji,Karibu na Vyuo au Mji wa kiserikali.

2. Viwanja Vikubwa na vya Uhakika kwenye Mji wa Kiserikali kwaajili yako vinapatikana vitakavyofungua njia kwa ndoto zako kufanya biashara na serikali.

3. Unaweza kununua Nyumba Katikati ya Mji wetu wa Dodoma kuanzia Milioni 30 km 5 kutoka City Center pia unaweza kupata Nyumba za kununua katikati ya Mji.

4. Unaweza kununua Mashamba maeneo ya jirani la Jiji la Dodoma kuanzia km 35 mpaka 150 kwa bei nzuri sana,Ukalima Zabibu na utavuma mfururizo hadi Miaka 100 ndo ulime tena.

5. Fungua Biashara,Jenga Shule na Sheli kwenye maeneno nyeti ya Jiji la Dodoma,Jenga kiwanda au kufungua sehemu kwaajili ya Biashara/Kiwanda cha Vifaa vya Ujenzi.


WEKEZA KWENYE ARDHI HAUTAKUJA KUJUTA HATA SIKU MOJA.

Karibu Dodoma.

View attachment 1727774
View attachment 1727775
View attachment 1727776
View attachment 1727777
View attachment 1727778
View attachment 1727779
View attachment 1727780
View attachment 1727781
View attachment 1727782
 
Tatizo mteja akija mnambambikia sana bei! Yaani mfano mwenye kiwanja anauza kiwanja chake milioni 4 nyinyi madalali mnaongeza milioni 4 nyingine!!

Mungu anawaona madalali wa Dodoma! Muwe makini!! Mtakuja muungue moto wa milele mtakapo kufa, kwa sababu tu ya hizi dhuluma zenu aisee.
 
Tatizo mteja akija mnambambikia sana bei! Yaani mfano mwenye kiwanja anauza kiwanja chake milioni 4 nyinyi madalali mnaongeza milioni 4 nyingine!!

Mungu anawaona madalali wa Dodoma! Muwe makini!! Mtakuja muungue moto wa milele mtakapo kufa, kwa sababu tu ya hizi dhuluma zenu aisee.

Karibu sana kiongozi sisi tuna Viwanja vyetu kwa asilimia kubwa lakini pia bei zetu zinalipika kwenye upande wa manunuzi ya Nyumba unaonganishwa na mwenye nyumba halafu mnaambiwa kwenye biashara cha dalali ni kiasi gani......

Moto tunauogopa sana kwahiyo biashara zetu ni za kistaarabu sana.
 
Tupate matangzo kidogo Bwana Matias
20210315_145337_0000.jpg
 
Back
Top Bottom