Fursa kilimo cha mahindi mkoa wa Ruvuma

Mkombalwiku Orijino

Senior Member
May 24, 2020
101
30
Habari,

Msimu mpya wa mavuno ya mahindi mkoani Ruvuma (Songea) umeanza karibu ewe mfanyabiashara ofisini tukununulie mahindi kwa bei poa. Sisi tunayo ofisi songea mjini, tunavyo vifaa vya kazi kama vile mizani na vifaa vya kupima unyevu. Biashara hii tutakufanyia kwa uaminifu mkubwa sana kulingana na makubaliano tutakayoingia.

Nini unatakiwa kufanya:

1. Njoo ofisini kwetu tutafanya tutafanya makubaliano ya kibiashara na tutaingia katakana.taba.

2. Baada ya makubaliano kukamilika utatakiwa kuingiza kiasi cha fedha kwa ajiri ya kuanza kazi yako.

Tunakuhakikishia usalama wa pesa yako na tunakuhakikishia upatikanaji wa mzigo kiasi chochote ndani ya muda mfupi.

Kwa maelezo zaidi njoo Pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117

IMG_20200806_175054.jpg
 
Sawa mtaalam bei kwa hekari inagarimu kiasi gani mbegu+mbolea kama inatumika pia ni kilimo cha umwagiliaji au msimu, ili niweze kujipanga
 
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa.

Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
IMG_20200924_153144_909.jpg
 
Nina hekari karibia 100 Kitai na naomba nijulishe process zote na gharama zote kwa ujumla zipoje hasaa??ningependa sana nikifahamu kuhusu hili swala maana muhimu sana kwangu tafadhali na upande wa maandikiano unakuwaje hasa?
 
Simu. 0621133117View attachment 1586701
Yale yale,
Nyinyi mnafahamu pa kupata mashamba ya mahindi,

Nyinyi mna utaalamu wa kulima Mahindi mpaka mtu apate gunia 30,

Sasa si mlime tu wenyewe mpate hayo magunia 30+ kwa kila heka?
 
Yale yale,
Nyinyi mnafahamu pa kupata mashamba ya mahindi,

Nyinyi mna utaalamu wa kulima Mahindi mpaka mtu apate gunia 30,

Sasa si mlime tu wenyewe mpate hayo magunia 30+ kwa kila heka?

Nadhani tatizo lao ni mtaji.
 
Nina hekari karibia 100 Kitai na naomba nijulishe process zote na gharama zote kwa ujumla zipoje hasaa??ningependa sana nikifahamu kuhusu hili swala maana muhimu sana kwangu tafadhali na upande wa maandikiano unakuwaje hasa?
Nipe namba yako ndugu au nipigie kwa 0621133117
 
Nadhani tatizo lao ni mtaji.
Sisi tunatoa huduma kwa wenye interest na kilimo, hii ni sawa na uwakili ndugu yaani una kesi mahakamani unamtuma Wakili aisimamie ili ushinde..na kwetu unahitaji kupata mavuno mengi unatupa kazi yako wataalamu wa kilimo tunaisimamia
 
Yale yale,
Nyinyi mnafahamu pa kupata mashamba ya mahindi,

Nyinyi mna utaalamu wa kulima Mahindi mpaka mtu apate gunia 30,

Sasa si mlime tu wenyewe mpate hayo magunia 30+ kwa kila heka?
Fahamu kuna watu wanafanya kilimo kila mwaka na hawafikii mavuno ya tija kutokana na sababu kama kukosa kanuni za kilimo bora au usimamizi mbaya. Sisi tunakuja kutatua changamoto hiyo kwa wakulima ili maarifa tuliyonayo na elimu yetu itumike kunufaisha jamii yetu. Karibu ofisini kwetu au tupigie 0621133117
 
Back
Top Bottom