Fursa katika kilimo cha mbogamboga kwa gharama nafuu

Minael Masasi

Member
Jan 10, 2019
34
55
kilimo cha mboga mboga katika bustani za nyumbani kwenye eneo dogo tuu ambazo unaweza kuziotesha kwaajili ya matumizi ya nyumbani na ziada unaweza kufanya kama sehemu yako ya kipato cha ziada,, umuhimu wa kupanda mboga mboga nyumbani,

1. Utunzaji wa mazingira na kupendezesha eneo lako hata kufanya upathamini zaidi,

2. kuongeza kipato cha ziada ambacho kitasaidia kujikimu kiuchumi kwa kutatua matatizo madogo madogo ya familia.

3. unajipatia mboga kwaajili ya matumizi ya nyumbani hata siku umekosa unaweza zitumia kwa mboga za familia.

4. unatengeneza hali ya watoto kupenda kilimo angali wadogo na kuchukulia kilimo kama sehemu ambayo anaweza kupata kipato kama kazi zinginezo.

Na kama Mungu amekujaalia una maji nyumbani kwanini usiyatumie kwa manufaa hata kwa kuweka mfumo wa umwagiliaji katika eneo dogo na ukafanya kilimo hicho cha mboga mboga hili ulishe watu wanaokuzunguza uweze kujipatia kipato cha ziada,

Ukihitaji ushauri au namna ya kukufanyia shughuli ya kuweka bustani kidogo ya mboga mboga nyumbani kwako katika eneo dogo pamoja na kukupa mbegu nzuri za chinese, spinach, matembele, mchicha na nyinginezo tupigie

0745478823, 0657570212
FB_IMG_1550503501826.jpeg
GBWA-20190218172307.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Linavutia kweli...

Ila angalau ungedokeza gharama ili mtu ajipime kabla ya kuja pm mkuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom