Fursa katika kilimo cha Beetroot

Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
44,669
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
44,669 2,000
Ndugu kwani Adam Mgamange hajawalipa watu pesa zao kama alivyokua ameahidi na mkikita yake?
Mimi niko makini hakuna atayenitapeli kamwe
Hajalipa hadi leo, ukimsumbua ana ku block
 
LOVE U JF

LOVE U JF

Senior Member
Joined
Dec 16, 2018
Messages
125
Points
250
LOVE U JF

LOVE U JF

Senior Member
Joined Dec 16, 2018
125 250
Hajalipa hadi leo, ukimsumbua ana ku block
Fateni sheria maana mimi huwa hawa watu siwaamini sana ndyo maana hata jatu bado napata uwarakini kuingiza pesa huko
 
A

antimatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
1,836
Points
2,000
A

antimatter

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
1,836 2,000
Wana JamiiForums naendelea kuwakumbusha kuwa matapeli hawajaisha na wala utapeli hautaisha kamwe.
Kwa gia hizi tumeona Namaingo akiwatapeli watu. Baadae akaja tapeli msomi Adam Rashid Ngemange mradi wake wa kijani kibichi wakawaibia sana watu hasa huko Fukayose.
Tumieni akili msikurupuke
Duh.. na Kuna yule dada Judith John Urio wa VJ AGRIMARKET SOLUTION ameliza watu kibao mamilioni na kuingia mitini!
 
M

Minael Masasi

Member
Joined
Jan 10, 2019
Messages
31
Points
95
M

Minael Masasi

Member
Joined Jan 10, 2019
31 95
Limeni kwanza nyie wataalamu.....mnajua kulimia jf tu hata bondeni hujawah kanyaga
Hakuna mtafiti anaefanya kitu bila majaribio vyema ukamtafuta mhusika kwa kumpigia simu na ukafika ofisini kwake au field ushuhudie ndio utoe maelezo,, kuwa makini
 
M

Minael Masasi

Member
Joined
Jan 10, 2019
Messages
31
Points
95
M

Minael Masasi

Member
Joined Jan 10, 2019
31 95
Duh.. na Kuna yule dada Judith John Urio wa VJ AGRIMARKET SOLUTION ameliza watu kibao mamilioni na kuingia mitini!
Poleni sana kwani uwa hamfuatilii watu kwa umakini muhimu anzia ofisini kwa mhusika kisha ufike field ni vyema zaidi
 
M

Minael Masasi

Member
Joined
Jan 10, 2019
Messages
31
Points
95
M

Minael Masasi

Member
Joined Jan 10, 2019
31 95
Wana JamiiForums naendelea kuwakumbusha kuwa matapeli hawajaisha na wala utapeli hautaisha kamwe.
Kwa gia hizi tumeona Namaingo akiwatapeli watu. Baadae akaja tapeli msomi Adam Rashid Ngemange mradi wake wa kijani kibichi wakawaibia sana watu hasa huko Fukayose.
Tumieni akili msikurupuke
Pole sana kama ulipata hizo changamoto,, hila makosa ya watu wengine yasituzuie sisi wengine kufanya shughuli za kilimo kwa uhalali,, naomba nikupe nafasi ya kunitembelea ofisini kwangu madale uje ujionee na upate elimu zaidi
 
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
4,980
Points
2,000
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
4,980 2,000
unatakiwa ulime zao ambalo lina soko la uhakika hasa la ndani..
wewe una ekari 2 unataka ulime halafu uuze UK ????
pili kama ukikosa kibali au fursa ya kusafirisha option B ni ipi?
 
M

Minael Masasi

Member
Joined
Jan 10, 2019
Messages
31
Points
95
M

Minael Masasi

Member
Joined Jan 10, 2019
31 95
unatakiwa ulime zao ambalo lina soko la uhakika hasa la ndani..
wewe una ekari 2 unataka ulime halafu uuze UK ????
pili kama ukikosa kibali au fursa ya kusafirisha option B ni ipi?
Unajua soko la ndani linavyopatikana? unajua kwanini wengi wanashindwa kukidhi viwango vya masoko ya nje?
 
daudthefarmer

daudthefarmer

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2016
Messages
5,229
Points
2,000
daudthefarmer

daudthefarmer

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2016
5,229 2,000
Sasa ukilima zao kienyeji soko utalipata wapi? Kilimo sio kitu cha kukurupuka fanya utafiti kwanza
Nakushauri utembelee halimashauri nyingi kama utakavyoweza muingie nao mskubaliano ili watumie wale wakulima wa mfano kuzalisha hili zao na kupata soko kama ulivyojinasibu hapa kuwa soko lipo, nakuhakikishia uzalishaji utakuwa mkubwa na soko utalikimbia
 
S

SIPIYU30

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
1,123
Points
2,000
S

SIPIYU30

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
1,123 2,000
TUNAKULETEA FURSA KATIKA BIASHARA YA KILIMO AMBACHO KITAKUPELEKEA KUWEZA KUVUNA NA KUPATA MASOKO YA UHAKIKA, KILIMO CHA BEETROOT,

Kilimo kina mabadiriko kila kukicha na hii inatokana na teknologia kuwa juu, na jambo zuri sana hasa ukitambua umuhimu wa kwenda na mabadiriko hayo' pia ni vyema ukawa na ufahamu wa kutosha kuhusu mazao unayolima pia kuwa na uhakika wa hilo soko la hayo mazao hili usije kulima ukakosa mahala kwa kupeleka hayo mazao yako,,

Kwasasa tunawaletea kilimo cha kisasa cha beetroot,, ambalo ni moja ya mazao yanayofanya vizuri sana kwasasa sokoni ambapo mkulima anakuwa na uhakika wa kuuza kwa asilimia kubwa,, na je utawezaje kulima kisasa fuatana nami kuweza kuelewa...

1, ukitaka kulima zao hili kwanza kabisa itakulazimu kufanya vipimo vya udongo kuweza kujua hali iliyopo katika udongo wako kama inafaa au inachangamoto zipi za kitaalamu hili uweze kulima kwa kujiamini hasa juu ya mazao yako kufanya vyema.

2. Kuandaa shamba kitaalam hasa kwa mfumo wa matuta hii inasaidia sana kuweza kutunza mbolea kutopotea hasa maji yanapozidi kutokana na mvua pia kufanya mmea kustawi vyema.

3. Kitaalam tunashauri kupanda miche kwa kufuata vipimo vya kitaalam kama kuacha nafasi ya cm 10 toka mche mmoja na mwingine hii itakusaidia sana kuweka mimea kukua bila kushikamana kwa mizizi.

4. Tumia mfumo wa umwagiliaji maji ni njia ya kisasa zaidi katika kilimo cha kisasa kwa maana uzalishaji wako unakuwa endelevu sio wa msimu wa kutegemea mvua na hapa ndio tunatofautisha mfanyabiashara ya kilimo na mkulima wa kawaida..

5. Kwa kuzingatia katika eneo la heka moja tunatarajia kuweka miche 4000, kwa vipimo vya Cm 10 kutosha mche hadi mche na mstari kwa mstari ni cm 20 hadi 45.

6. Pia kutakuwa na gharama ya kuweka mbolea kiasi cha tan 6 katika eneo la heka moja, na iwe ni kinyesi cha ng'ombe kikavu,,

7. Gharama ya kufanya hilo zoezi kutaalam pamoja na kuweka miche kusambaza mbolea, ni milioni 2 hivyo jumla katika heka moja mkulima anapaswa kuwa na mtaji wa milioni 4

8. Ni zao ambalo lipo na linajiunda kama kitunguu maji linaweza kutumika kama kiungo, pia majani yake yanalika kama chinese mbogamboga,

9. Ni tunda ambalo lina ufanisi mkubwa katika kuongeza damu mwilini hivyo ni zao lenye faida na matumizi mengi.

NB, soko ni la uhakika na lipo katika makubaliano tutakayoyaingia.

Tupigie; 0745478823 , 0657570212View attachment 1117112
Mavuno kwa ekari moja iliyotunzwa vizuri kwa wastani ni kilo ngapi?
 
S

SIPIYU30

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
1,123
Points
2,000
S

SIPIYU30

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
1,123 2,000
Kwa

vipimo vya 10cm kwa 20cm/45 huwezi kuwa na plant population ya 4,000 ndani ya ekari moja utakuwa na Miche zaidi ya 30,000 ,
Mimi nadhani jamaa wala siyo mkulima na hajui uhalisia wa kilimo chenyewe, tujihadhari. Anyway, mimi nitalima kwa interests zangu, hayo mambo ya kuingia mkataba na watu ujinga mtupu, ngoja nipambane kivyangu
 
M

Minael Masasi

Member
Joined
Jan 10, 2019
Messages
31
Points
95
M

Minael Masasi

Member
Joined Jan 10, 2019
31 95
Mimi nadhani jamaa wala siyo mkulima na hajui uhalisia wa kilimo chenyewe, tujihadhari. Anyway, mimi nitalima kwa interests zangu, hayo mambo ya kuingia mkataba na watu ujinga mtupu, ngoja nipambane kivyangu
Kwani ukianzisha kilimo unaulizwa mkuu, wewe unaejua ungekuwa huna hata muda wa kucomment hapa, kilimo sio gazeti ni shambani
 
M

Minael Masasi

Member
Joined
Jan 10, 2019
Messages
31
Points
95
M

Minael Masasi

Member
Joined Jan 10, 2019
31 95
Nakushauri utembelee halimashauri nyingi kama utakavyoweza muingie nao mskubaliano ili watumie wale wakulima wa mfano kuzalisha hili zao na kupata soko kama ulivyojinasibu hapa kuwa soko lipo, nakuhakikishia uzalishaji utakuwa mkubwa na soko utalikimbia
Sawa asante
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
15,362
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
15,362 2,000
Tuliwah ambiwa tuungane kuna kampuni inataka maharage fulan hv..watu wakaungana...yelewii hakuna lolote...ila nashangaaga haya mambo watu mpk leo wanapigwa...wakulima wa beetroot wanahangaikaga ht kuuza only 10kgs..hawawez..unawakaita yamenyauka tu...tatizo watu hawana elimu juu ya hili tunda...!sokoni unaweza kuta yananunuliwa twice a week
 

Forum statistics

Threads 1,304,176
Members 501,290
Posts 31,505,290
Top