Fursa kama hii, nisingependa kuificha, acha na wengine waijue...

safi mkuu, hizi ni habari njema kwa wadau wote
Ndiyo hivyo mkuu, inabidi sasa jamii iamke kuhusu matumizi ya mitandao, katika mambo muhimu kama shule,ajira,maisha na kadharika siyo mambo furani furani tu...
mtandao kama schoolbook, unaweza kubadilisha kabisa taswira ya elimu barani mwetu, hasa Tanzania, kwani watu wachache wenye pesa wanafanya elimu kuwa biashara ya wao kujiongezea kipato isivyo halali. Angalau sasa tunaweza kupata wasifu wa shule mbalimbali na annuani zao kwa urahisi hayo na wengine mengi ndani ya mtandao huu wa schoolbook. Asante mkuu kwa kindness.
(Nachanganya lugha nisamehe)
 
Back
Top Bottom