Fursa! Fursa nafasi ya kazi mdada msaidizi wa kazi mshahara tsh 80000/= kuendelea

bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,457
12,668
ANAHITAJIKA MDADA MSAIDIZI WA KAZI ZA NDANI(HOUSE MAID).

SIFA:
Awe Dar es salaam.
Awe na umri wa miaka 18 kuendelea
Asiwe mwanafunzi(sekondari au primary)
Ni vizuri akawa ni mkristo
Awe na Afya bora asiwe na magonjwa sugu(serule).
Awe tayari kufanya kazi katika mikoa ya Dar es salaam na Dodoma.

MAWASILIANO:-

0715365934/
Karibuni.
 
Please bado mdada anatakiwa, mwenye uhitaji usisite kunitafuta..
 
80,000/= Enzi hizi vyuma Vimekaza! Graduates Jitokezeni.
Tafadhali jitoe kuchangia kabisa ubaki kama msomaji wa kawaida kutoka jukwaa la siasa peke yake haitotusaidia bado utaendelea kutuletea maudhi asee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom